Wewe jamaa Sasa hivi nakufuatilia Sana post zako.
Nimegundua unajua mambo mengi Sana mazito ya nchi hii.
Ulikua mtu wa kwanza kusema
Soooooooooooooo sad.
Kwa kifupi nimekukubali.asante sana.ukaendelea kutoa yaliyokua yanajiri nyuma ya pazia.
Salute sir.
Mipango ya Mungu haina makosa. ..Tunakoenda ni kuzuri zaidi
At the end of tunnel hahahahhh tumeibuka nuru kama nuru
Na utashangaa sana hata watu wasiokuwa na staha wataheshimu uhuru huo bila ya shurti.Atuachie uwanja huru wa kusema..
JK mtu wa maneno maneno atatuharibia nchi tena; labda kama Mkapa angekuwa hai angekuwa ni nguzo nzuri lakini siyo huyu JK! Watu wanamkumbuka JK kwa meneno maneno ya kujisikia vizuri, hela kutoka njia za mkatomkato na mishen town lakini siyo kwa mambo thabiti ya kitaifa.Sijui kwanini nawaza na kujiaminisha nchi inarudi kwa JK. Namwona mtu kama JK kakamata rimoti kontroo kwa mbali....
Waliotudanganya ni wawili tu... Majaliwa na yule mkuu bwana ChalamilaKwa nini viongozi wetu wametudanganya?
Yawapasa wajiuzulu.kwa nini waongopee taifa,wataweka wapi sura zao?
Heshima yako chief Glory to GodNakusalimia Best wangu. Lema ni Nabii.
Wewe una roho ngumu😂😂😂,ila mshukuru na ingia whatsapp kwa pc ,vinginevyo kesho tungekutana katika status
Samia akiona analazimishwa Bashiru awe Makamu ajue na yeye atakuwa fixed ili chatoz waendelee kutawala
Majaliwa nae akatuambia kuwa Rais ni mzima anaendelea kuchapa kazi. Ina maana alisema uongo? Tena akiwa msikitini? Kwanini hakusema ukweli ili watanzania tuungane kumuombea Rais wetu?Waliotudanganya ni wawili tu... Majaliwa na yule mkuu bwana Chalamila
Mama yetu alisema ukweli kabisa. ..
Tumuunge mkono mama yetu....
Sasa tufanyeje tena? Ndio ishakuwa hivyo tena...JK mtu wa maneno maneno atatuharibia nchi tena; labda kama Mkapa angekuwa hai angekuwa ni nguzo nzuri lakini siyo huyu JK! Watu wanamkumbuka JK kwa meneno maneno ya kujisikia vizuri, hela kutoka njia za mkatomkato na mishen town lakini siyo kwa mambo thabiti ya kitaifa.
#mwacheAtangulieTutamkutaBro, mimi sijawahi kupiga kura na wala sitopiga kura, ila kifo cha mtu sio cha kufurahia hata kama ametenda mabaya, vipi wewe hapo umetenda mabaya kiasi gani.? Je Mm nmetenda mabaya kiasi gani.? Kila mtu atahukumiwa na Mungu kwa wakati wake
Heshima yako chief Glory to God
Unapata faida gani kuandika hayo yote mkuu? Kuna mabaya amefanya, ni kweli lakini pia kuna mema mengi sana kayafanya..Kabisa aisee hawakukosea waliosema Mwenyezi Mungu Mkubwa. Dhuluma za kutisha nchini kuanzia bomoa bomoa, wakulima, Wafanyakazi, wafanyabiashara, wapinzani, mauaji ya kutisha, manyanyaso, udhalilishaji etc wote hawa walimshtakia Mwenyezi Mungu.
Leo imekuwa siku njema sanaHeshima ikurudie nawe Mkuu 🙏🏾
Majaliwa nae akatuambia kuwa Rais ni mzima anaendelea kuchapa kazi. Ina maana alisema uongo? Tena akiwa msikitini? Kwanini hakusema ukweli ili watanzania tuungane kumuombea Rais wetu?