TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Tuombe mema...hopeful Mungu anajua namna ya kurekebisha na atasimama na mama Samia, thou it's hard Ila najua atashinda cha muhimu apate strong&true support kutoka kwenye inner circle.
Usiwachezee wanawake aisee!

Unamkumbuka Margreth Thatcher, Indira Ghandhi,

Goldmeir (israel), Merkal (Ujerumani)...

Sasa hapa kwetu ni Mama Samia.

Kaa utulie, utaona mambo.

Tena huyu yuko tayari sana.

Atajiwekea heshima ya kipekee sana, mwanamke wa Kwanza Barani Afrika..., huyo wa Ethiopia simhesabu.

Atulie tu, asifanye papara.

Muhimu, aachane na yale mabaya ya aliyemrithi.

Ajitahidi sana kurudisha heshima ya nchi yetu kwa kutenda HAKI bila ya hira.

Asiruhusu kamwe, wapiga dili kurudi ulingoni. Na wale fisi ndani ya chama chake asiwape nafasi.

Akamilishe miradi muhimu iliyoanzishwa kwa wakati.


Akiyafanya haya, 2025 hapati shida kurudi ulingoni, yeye kama yeye.
 
Rest in peace, Comred Magufuli. A luta continua.
 
Kwa kweli ni huzuni sana ...Mungu atushike mkono kuna mpasuko mkubwa hatujui nini kilichopo,nini kinakuja,kwanini imetokea hivi?.

Mungu ibariki Tanzania,Mungu tutetee Tanzania
Mapenzi ya Mungu yametimia
 
Reactions: BAK
Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani..
 
Ni muda muafaka kuirudisha nchi katika utawala wa sheria na kufuata katiba, apumzike anapo stahili.
I'm not sad kwamba kaondoka, marehemu asemwi vibaya ila nimeshuhudia uonevu mwingi na mateso mengi ya watanzania ambao walisimamia ukweli.
Kutoka moyoni nina furaha , na mbwa wote wa kijani ni muda wa kuheshimiana sasa.
#katibampya ni lazima asije akatokea mwingine kama huyu akageuzwa mungu mtu.
Pole Lissu, poleni mlio bambikiwa makesi ya uchochezi yasiyo na kichwa wala miguu na wote walio fungwa kwa hila tu.
RIP MAWAZO, BEN SAANANE, Na wote walio ondolewa nafsi katika utawala wa kidikteta wa huyu jamaa.
Come 2025 tufanye mabadiliko tuwatoe mboga mboga wote.
 
Hawa walitudanganya mh. ni mzima anachapa kazi white house, na anatusalimu. Au hawakuwa well informed?
Hawakuwa well informed na nani wakati habari zimetapakaa mitaani na mitandaoni? Kama hawakuwa well informed na jambo kubwa hivyo, watakuwa well informed na jambo gani tena?
 
Walikuwa wanaficha nini
Unatakiwa kuelewa Rais wa nchi akifa huwa hawatangazi abruptly.
Lazima waweke mambo sawa kwanza isije tokea coup de tat..
Mama alikua anaandaliwa kwanza kupokea majukumu hayo na kuweka sawa usalama wa nchi.
Washaweka mambo sawa ndio maana mnatangaziwa sasa.
Wakenya kwa Kenyatta ilikuwa the same ni procedure.
 
R.I.P son of Africa
Mwamba na shujaa wa Africa,
Dunia ina mengi ya kuelezea juu yako,
Umeacha alama katika ardhi ya Tanzania.
Dance with angels.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…