Aisee mtuache kabisa, nina kakibanda kangu somewhere akija mtu akituondoa wamachinga, nitamlaani sana [emoji3]Ila Arusha ilizidi [emoji114] ukipita kuanzia saa 1 kasoro hivi jioni ile friends corner haitamaniki.
Alivyokuwa anaumwa walikuwa wanaficha nini?Unatakiwa kuelewa Rais wa nchi akifa huwa hawatangazi abruptly.
Lazima waweke mambo sawa kwanza isije tokea coup de tat..
Mama alikua anaandaliwa kwanza kupokea majukumu hayo na kuweka sawa usalama wa nchi.
Washaweka mambo sawa ndio maana mnatangaziwa sasa.
Wakenya kwa kenyatta ilikuwa the same ni procedure.
Maria Sarungi nampendeaga hapo tu
This line of reasoning...!Waliokua wanashikilia mwili wa Rais toka tarehe 10/3 hawakutaka hata kutoa Tangazo; pressure imekuwa kubwa na hata hizo habari za wizi na mengine imelazimika Makamu akachukuliwe haraka aje atangaze kabla ya asubuhi
My friend huyo alikua no 1Alivyokuwa anaumwa walikuwa wanaficha nini?
Ili nchi iokoke itabidi Samia aombe msaada kutoka Team JK vinginevyo na yeye hafiki mbaliSijui kwanini nawaza na kujiaminisha nchi inarudi kwa JK. Namwona mtu kama JK kakamata rimoti kontroo kwa mbali....
This's sad news indeed...
Naionea huruma Tanzania kwa kweli, days of darkness ahead if we ain't gonna stand together...
Ili Team Chattle iongoze lazima huyu atokeKtk hotuba yake kule tanga alijohoa na kulazimika kuweka maiki pembeni
Leo wakati anatangaza naomba ufanye tathmini namna alivyokuwa amavuta pumzi kwa shida kidogo kisha utapata jibu.
Nani anaweza watia ndani?Bashiru na wenzake wa genge wanatakiwa kuwa ndani ; wote waliokua wanadhibiti ugonjwa wa Rais ; walificha habari kwa maslahi yao kwa nia Ovu ya kupata madaraka
Pole sanaKwani mi huwa mkali??
Jibu la kizushi: Nadhani atakuwa mwanamkeSwali la kizushi
Huyo ADC kamanda anayesimama nyuma ya rais atakuwa ni mwanaume au mama Samia atasimamiwa na ADC wa kike nyuma ?
Wa kike.Swali la kizushi
Huyo ADC kamanda anayesimama nyuma ya rais atakuwa ni mwanaume au mama Samia atasimamiwa na ADC wa kike nyuma ?
Labda kwakoMy friend huyo alikua no 1
Have sense,wacha tumastory twa vijiweni hapa,kila nchi ina utaratibu.
Watakumbuka waliotenda mema wakaacha alama siyo wakatili na waovu"Lakini mimi najua, iko siku mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri, si kwa mabaya, kwa Sababu nimesacrifice maisha yangu kwa ajili ya watanzania hasa watanzania maskini" #JPM