TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Kama watu wangekuwa wanakufa kwa sababu ya laana kutoka kwa watu fulani kwa mabaya waliyowahi kuyatenda, hii dunia ingekuwa imeshaishiwa watu wabaya!
Hukumuelewa, au umeamua tu kupindisha kwa maksudi yako mwenyewe.

Hakuna popote katika andiko lake alipoandika kuwa sababu ya kifo chake ni hayo aliyoyaorodhesha.

Mimi nitaongeza kwenye orodha yake ambayo hakuyaweka.

- Kiburi

-ujuaji mwingi

- ubishi

Hizi siyo sifa nzuri kwa kumbukumbu ya kiongozi.

Ndiyo, yapo mazuri, na tunaweza pia kuyaorodhesha
 
Mungu akupe pumziko la milele baba yangu magufuli. Nimeumia mno.lakini ujaliwe uzima wa milele.
 
Mweeh Rais wa wanyonge umekwenda. 😭😭
Very sad news.
Watanzania wanyonge watakukumbuka sana.
RIP My President.
 
Magufuli nembo ya mabadiliko ya Taifa ,ulikua mkweli ,sio Rais wa kuyumbishwa na MTU,mabeberu walilamba shuma cha reli ..TUTAKUKUMBUKA DAIMA ,KWA MISINGI ULIOWEKA
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…