TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Afya, mali na madaraka vinamfaya mwanadamu asiye na hekima kuwa na kiburi, nakujiinua juu hata kujilinganisha na malaika, au hata na Mungu.

Tuombe:
Ee Mungu, siku zako hazina mwisho, na rehema zako hazina idadi.

Roho wako mtakatifu atuongoze katika utakatifu na haki siku zote za maisha yetu. Tufike salama katika ufalme wako, kwa njia ya Kristo bwana wetu. Amina.
 
Hakika taifa letu limempoteza Mtu ambaye si rahisi kumpata, kwakweli ni mshituko mkubwa ndani ya Taifa letu.

Naona kiza kinene kimetanda kila kona lkn Tunamuomba Mungu atuvushe salama ktk kipindi hiki kigumu.
 
Hakika taifa letu limempoteza Mtu ambaye si rahisi kumpata, kwakweli ni mshituko mkubwa ndani ya Taifa letu.
naona kiza kinene kimetanda kila kona lkn Tunamuomba Mungu atuvushe salama ktk kipindi hiki kigumu.
Akili za kipa katoka na Bosi kalewa hizi
 
Kawaida unakuwa kazini au sehemu yoyote ile ukiendelea na majukumu yako ya kila siku, gafla unapewa taarifa za tukio la kuondokewa na ndugu n.k duniani.

All to all taarifa ya kifo cha our late president John Pombe Magufuli kimetangazwa asilimia kubwa ya watanzania wakiwa wamelala hama wanatafuta vitanda.

Na taarifa zilitangazwa kutokea jijini Tanga nimefuatilia na kufikilishwa sana.

Msiba mkubwa wa kitaifa mara nyingi maandalizi yake ya kutangaza huwa siyo madogo na utangazwa pasipo papala au kulazimishwa kutangaza, ila hii ya jana usiku niliona kama kuna watu waliambiwa before time flani iwe hivi!!.



Mhariri au Moderator please don't delete or mix with other articles. 👉🏾how many articles you don't combine with this and still alive out of this?.

Sometime uliyeunga huu uzi msitake tutumie lugha ngumu kisa unaambiwa usiunganishe uzi ila kwa sababu you're keyboard header basi unafanya hiki ulicho fanya 😬!
 
Tumepatwa na msiba mkubwa na kabla ya msiba huu mengi yalisemwa.Kwa wale waliokuwa wanamuogopa Magufuli leo hayupo kwa wale waliokuwa wanaogopa serikali hii bado ipo. Tujikinge na kauli zinazoweza kutuleta matatizo kwani serikali ipo na sheria zilizotungwa zipo na zitaendelea kutumika!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…