Afya, mali na madaraka vinamfaya mwanadamu asiye na hekima kuwa na kiburi, nakujiinua juu hata kujilinganisha na malaika, au hata na Mungu.
Tuombe:
Ee Mungu, siku zako hazina mwisho, na rehema zako hazina idadi.
Roho wako mtakatifu atuongoze katika utakatifu na haki siku zote za maisha yetu. Tufike salama katika ufalme wako, kwa njia ya Kristo bwana wetu. Amina.