mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hata mimi ntakaribia kwenye hizo bia. Watu wanafiki sana wanajifanya kusikitika kumbe hamna kitu. Mzee alikuwa katili sanaJirani yangu kanialika kunywa bia na nyama leo jioni
Duuuuh, unapata wapi nguvu ya kulewa mda huu, watu wapo bize na mambo ya nchi.Mkeka umetiki [emoji736]
Napombeka tu saa hii.
Hata hivyo I feel sorry kwa familia yake tu kupoteza mpendwa wao.
DuhJirani yangu kanialika kunywa bia na nyama leo jioni
Amen my loves.Mungu atufariji tu my dr
Huyu asipotokea tena kwenye huu msiba tutajua kuwa kweli lisemalo lipo.Ndugai atawakilishwa tena kwenye huu msiba?
Hata mimi nilimkubali kama wewe, na hata Jana baada ya kupata taarifa niliumia sana mpaka nikashindwa kulala , usingizi uligoma kuja, Yani nilikuwa na maumivu yaliyochanganyikana na furaha kwa mbali.Kiukwel gap ya Magufuli hakuna mtu ataliziba, kaacha viatu vikubwa mno hakuna vitakaemtosha.
Kuna wengine wanachukulia ‘Utani’ lakini seriously Tanzania tumepoteza mwanga uliokua unamulika mbali japo ulikua wenye kutuletea maumivu makali machoni petu.
Kuna siku tutasema wote kwa pamoja Bora Magufuli kwa sababu alikua mwenye maono mengi, makubwa na mazuri kiasi kwamba sidhani kama kuna mtu mwingine alie nchini mwenye maono kama yake
Rest In Peace Mr. President [emoji24]
Mungu ana watu wengi wewe katika taifa hili hayo ndo yaleyale makufuru tunayoyasema kila siku hamjifunzi tu.Hakika taifa letu limempoteza Mtu ambaye si rahisi kumpata, kwakweli ni mshituko mkubwa ndani ya Taifa letu.
naona kiza kinene kimetanda kila kona lkn Tunamuomba Mungu atuvushe salama ktk kipindi hiki kigumu.
Sasa si wawe wanasema ukweli lini alikuwa ameshafariki.We unaamini kafariki jana?kuna protocols za kufuata hawatangazi tu! Possible alikufa one week before,wakaweka mambo sawa kwanza!na kucheki to do list zake na process za msiba na replacements zitaendaje na nani atakua nani before kupeleka public. Msiba Rais ni national and regional issue sio family issues.
Kweli kabisa, wema unalipaMaisha ni fumbo.
Tumia muda wako kufanya mazuri kwani siku moja utapotea kama nukta moja ya mchanga baharini na kitakachobaki ni historia yako iwe ya mabaya au mazuri.
Hata kama ulimchukia au kumpenda ila kifo ni kifo. upendo na chuki vyote havina faida sasa hivi.
Binadamu wenye moyo watanielewa.
Sifurahii wala Sisikitiki.
Mbona hawakutuambia kuwa anaumwa? Kwa hakika hapa serikiali imechemsha. Kuumwa ni ubinadamu. Wangetueleza tu ili tuanze kujiandaa kisaikolojia. Badala ya kutwambia ukweli wanasema oh yuko mzima kabisa anachapa kazi (Majaliwa) au amenipigia simu leo na ametuletea pesa (RC Chalamila). Wakati huo huo watu wanakamatwa kwa kusema tu kuwa Rais ni mgonjwa. Mama Samia, tunakuombea ufungue ukurasa mpya!Hii ni kweli?
Ni kweli, uthubutu wakeHakika taifa letu limempoteza Mtu ambaye si rahisi kumpata,
SureAll to all taarifa ya kifo cha our late president John Pombe Magufuli kimetangazwa asilimia kubwa ya watanzania wakiwa wamelala hama wanatafuta vitanda.
Lakini pia kaacha somo kubwa kwamba "kumbe inawezekana". Kama tukirudi nyuma baada ya kutuonyesha njia, nitaamini kwamba kuna kilaana fulani kipo nyuma ya mtu mweusi.Ni kweli, uthubutu wake
Well saidIla alifanya mazuri mengi sana na nimemkubali sana, pia mapungufu nayo yalikuwepo yameumiza wengi sana.
Duuuuh, unapata wapi nguvu ya kulewa mda huu, watu wapo bize na mambo ya nchi.