Hii damu itawalilia, hasa Mwigulu aliyekuwa anajifanya kukanusha kila kitu, mbwa yuleWamemuua rais wetu kwa kumpandikiza virus vya corona ikawa hata aibu kutangaza kuwa rais wetu anaumwa na chanzo ni kukataa kununua vaccine RIP hero magufuli
Chukua 21 toa 14 ujue Rais alifariki lini... Labda zimebakia siku 14..."The Vice President shall, in respect of the late President, announce a period of 21 days for mourning and the flag to fly half mast", The National Leader's Funerals Act, Chapter 419, Section 8(2).
Wataalamu wamedadavua kwenye huu uzi: Kisheria, kifo cha Rais hutakiwa kuombolezwa siku 21 na sio siku 14
Tupaze sauti waovu washindwe katika hili.Kweli watamuua
Umakini zaidi unahitajikaKwani ulinzi wake hautoshi?
Acha kuongea uwongo mkuu, tumetangaziwa ni ugonjwa wa moyo halafu wewe unaanza uzushi wako kwamba ni corona.Wamemuua rais wetu kwa kumpandikiza virus vya corona ikawa hata aibu kutangaza kuwa rais wetu anaumwa na chanzo ni kukataa kununua vaccine RIP hero magufuli
Kwanini umakini zaidi uhitajike? Kwani anawindwa na walafi wa madaraka?Umakini zaidi unahitajika
Duuh, wapi mkuu Nina hamu na mbusi kweli ukishushia na k vant aisee daaahSina huruma nae Magu, kaua ndugu yangu kwa mapanga, ubongo ukachuluzika mithili ya supu nzito ya nguruwe.. Mapolisi wakafanya uchunguzi wakasema ni ugomvi wa mapenzi, Pamoja na kuwaonesha meseji nyingi za vitisho kutoka kwa wana CCM hakuna hata mmoja aliyekamatwa.
Kisa cha yote ni ndugu yetu kuwa Diwani wa Chadema, hilo lilkuwa kosa kwao wakamuua kikatili kwa Mapanga .
Leo kwetu ni sherehe, wanafamilia tunasherekea mbuzi,anachinjwa.
R.I.P my bro, watesi wako wanakufata taratibu.
Kila la kheri Samia
Hebu tembeza makalio hayo yanayokuwasha hakuna mkunaji hapa tupo tunaomboleza.Marehemu nakupenda kingereza, usituchoshe