TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Wamemuua rais wetu kwa kumpandikiza virus vya corona ikawa hata aibu kutangaza kuwa rais wetu anaumwa na chanzo ni kukataa kununua vaccine RIP hero magufuli
Acha kuongea uwongo mkuu, tumetangaziwa ni ugonjwa wa moyo halafu wewe unaanza uzushi wako kwamba ni corona.
 
Mungu huyu.
Aliyekuwa anapiga pushap jukwaani Mungu anamuondoa kwa ugonjwa, kisha aliyeambiwa Mgonjwa mgonjwa bado yupo anadunda na afya tele.
 
NANDERA Busara ni muhimu au hutumika katika maamuzi ambayo yataleta madhara makubwa!!

Kwahiyo DPP kuwatoa wezi,wabakaji ,wahujumu uchumi kwa kukaa nao mezani ni halali au siyo?
 
Alisema Moyoni....
Namaliza Kazi
Kwa Huzuni..

remisofaaaa redooo Tidoredooo
 
Naiona miradi aliyoianzisha inapokufa, Wapigaji wameshajitayarisha kupiga pesa.
 
Sina huruma nae Magu, kaua ndugu yangu kwa mapanga, ubongo ukachuluzika mithili ya supu nzito ya nguruwe.. Mapolisi wakafanya uchunguzi wakasema ni ugomvi wa mapenzi, Pamoja na kuwaonesha meseji nyingi za vitisho kutoka kwa wana CCM hakuna hata mmoja aliyekamatwa.

Kisa cha yote ni ndugu yetu kuwa Diwani wa Chadema, hilo lilkuwa kosa kwao wakamuua kikatili kwa Mapanga .
Leo kwetu ni sherehe, wanafamilia tunasherekea mbuzi,anachinjwa.

R.I.P my bro, watesi wako wanakufata taratibu.

Kila la kheri Samia
Duuh, wapi mkuu Nina hamu na mbusi kweli ukishushia na k vant aisee daaah
 
Wanadamu ni wanafiki sana leo natafuta comment zenu sizioni.

Ila ndivyo ilivyo vitu vyema havidumu Mungu amlaze pema peponi.

Hakika rais Magufuli alikuwa mtu wa Mungu binafsi namfananisha na Mussa aliyetumwa kuwapeleka watanzania kwenye nchi ya matunda ,maziwa na asali.

Naamini Mungu hatatuacha wapweke bali atatuletea Joshua ambaye atatufikisha Tanzania kwenye nchi ya ahadi.

Amen!
 
Pole kwa Watanzania, Pole kwa serikali na Pole kwa Chama cha Mapinduzi. R.I.P J.Magufuli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom