Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliokuwa wanamuiga kutokuvaa mask. Jamani akili mkichwa.
Ni zaidi ya sana tena sana, hakika tumempoteza mwanamapinduzi na jabari la Afrika.Hii kitu ineuma sana aisee
wenye mamilioni ya watu waliopewa chanjo, watu 30 wamepata tatizo la damu kuganda, na WHO wameshasema, it is not related to the vaccine lakini watafanya uchunguzi kwa ajili ya kujiridhisha. In any case, the pros outweighs the cons. Na chanjo iliosimama ni moja tu, nyengine zinaendelea.Mzee hiyo chanjo unayoshadadia ndo' unaona usalama? Mbona huko walipoanza wameisitisha?
dah! 😢😢😢Yan me mpaka nimeamka kuwasha taa. Honestly nimeumia 😭
R. I. P muheshimiwa Rais
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya sasa kalale kwenye hiyo miundombinu
Na Corona ipoAisee! Nimekubali kumbe kifo kipo.
Pamoja na madhaifu yake, lakini ukweli usemwe kwamba marehemu amejitahidi sana kwenye miundombinu na alikuwa anajiamini kabisa.
Kipo Mkuu na kinatuteketeza!Aisee! Nimekubali kumbe kifo kipo.