TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Nashindwa angalia picha za Rais wangu sasa, siwezi kaza jicho kuzitazama

Machozi yanagoma kuacha kushuka, yanakataaa kabisa najua hata hili litapita

lakini sidhani nimeumia John, Nimeumia Magufuli Kapumzike baba,This is life.

Mungu asante hata kwa hili, acha nikubali na niamini unasababu zako ktk hili. Bye John Bye Dad😭😢
 
Mzee hiyo chanjo unayoshadadia ndo' unaona usalama? Mbona huko walipoanza wameisitisha?
wenye mamilioni ya watu waliopewa chanjo, watu 30 wamepata tatizo la damu kuganda, na WHO wameshasema, it is not related to the vaccine lakini watafanya uchunguzi kwa ajili ya kujiridhisha. In any case, the pros outweighs the cons. Na chanjo iliosimama ni moja tu, nyengine zinaendelea.
 
Duh, napokea habari sahi kwa news hapa. R.I.P. Jiwe, sote tunapita. Poleni ndugu zangu wa Tz.😢
✌️
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom