Kabisa! Huenda Lengo lake lilikuwa zuri lakini halikulindwa na katiba!Kweli mkuu bila katiba nzuri maamuzi ya msingi kuhusu taifa yanaweza fanywa kwa namna ya kuharibu.
Sasa ni vyema tukaandika katiba ili uongozi utokane na katiba siyo mtu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa! Huenda Lengo lake lilikuwa zuri lakini halikulindwa na katiba!Kweli mkuu bila katiba nzuri maamuzi ya msingi kuhusu taifa yanaweza fanywa kwa namna ya kuharibu.
Pole nawe🥱🤯🥵Pole kwa msiba
Mungu anatupenda Sana, ukitakana kutukana tukaneniDunia tunapita, nimeamini sasa
Ni bora hivyo mara 1000 kuliko tukishika kushika uelekeo tofauti.Na kuna kitu nakuwa napata hisia...
Kuna watu walio katika uongozi wataanza kujifanya wao ndio Magufuli waliobaki, si ajabu vikatokea vimtu kama kina Sabayer kwa mwamvuli wa kumuenzi the real JPM vikaongoza watu kwa mabavu kupitiliza!
Yan sipatii picha Lema na Lissu huko walipo watakavyojiachia na wiski hukoUtabiri wa Godbless Lema umetumia.
Hakumpandisha daraja mume wangu kwa miaka 6...mume analipwa mshahara wa degree na huku ana Phd nw😏!Alikukosea wap madam?
Mzee wangu amenitumia msg anasema poleni na msiba huko wakati alikuwa hampendi
Tena atapata tabu sana kutoka kwenye system🤣🤣🤣🤣 huyo lazima..ila Makonda atakua anaumia...ameenda babake bila kuachiwa ajira ya kudumu
Na wewe utavuna kwa nani???Wachawi gani hao?utavuna ulichopanda kudadadeki
Kweli jamaa alosema kaota lin akamfunga kwa uchocheziUtabiri wa Godbless Lema umetumia.
Duh hatari lakini salamaHakumpandisha daraja mume wangu kwa miaka 6...mume analipwa mshahara wa degree nahuku ana Phd nw😏!
Hilo tu kwakweli
Sawa na Kanumba 7.4.2012Karume ni tarehe 7.4.1972
Msalimie baba..😅!Duh hatari lakini salama
Nishakujibu sijafurahishwa na kifo mkuu mbona unakuwa sio muelewa? Sehemu gani inaonyesha nimefurahi? Nilichosema tutende mema kwa wenzetu, tusiwafanyie wenzetu mabaya kisa ya cheo, pesa or any pride maana dunia tunapita..UBAYA UBAYA TU, MITANO au SABA TENA.Bro, mimi sijawahi kupiga kura na wala sitopiga kura, ila kifo cha mtu sio cha kufurahia hata kama ametenda mabaya, vipi wewe hapo umetenda mabaya kiasi gani.? Je Mm nmetenda mabaya kiasi gani.? Kila mtu atahukumiwa na Mungu kwa wakati wake
Sio la kizushi ndio ukweli huoJibu la kizushi: Nadhani atakuwa mwanamke
Best nimecheka na hii comment🤣..neno mitano tena limekufa rasm dahNishakujibu sijafurahishwa na kifo mkuu mbona unakuwa sio muelewa? Sehemu gani inaonyesha nimefurahi? Nilichosema tutende mema kwa wenzetu ,tusiwafanyie wenzetu mabaya kisa ya cheo,pesa or any pride maana dunia tunapita..UBAYA UBAYA TU ,MITANO au SABA TENA.