TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Kama na wewe ulikuwa mpinga vyote basi na ww ni mpinzani uchwara, vinginevyo ww ni mpinzani halisi!
 
Kama na wewe ulikuwa mpinga vyote basi na wewe ni mpinzani uchwara, vinginevyo ww ni mpinzani halisi!
 
Nijibu maswali haya acha maneno mingi mingi.
1. Wanao shudia mbinguni ni nani?
2.wanao shudia duniani ni nani/ nini/ akina nani.

Ukijibu haya maswali mawili then nitakufafanulia ili uelewe kwa nini huo mpangilio uko hivyo.

Kujibu maswali yako na tuanzie hapa

WANAFUNZI WA YESU

Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya; Wa kwanza Simon aliyeitwa Petro, na Andrea nduguye; Yakobo wa Zebadayo, na Yohana nduguye; Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo; na Thadayo; Simon Mkananayo, na Yuda Iskariote, naye ndiye mwenye kumsaliti. (Marko 10:2-4).

Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44).

Basi tuone mti uliopandwa na Bwana Yesu Kristo, matunda yake ni ya ladha gani?

Madaraja yaliyofundishwa na Bwana Yesu tuone wanafunzi wake walikuwa wa aina gani?

Yesu alipoleta imani, basi tuone kiwango cha imani ya waaminio wake.

Sina kawaida ya kuwafundisha watu kwa maneno yangu bali nawafundisha kulingana na maandiko yao matakatifu. Sasa tuone hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu.

1. Yesu alisema, hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? (Mathayo15:16).

2. Alimwambia Petro kwamba; “Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka? (Mathayo 14:31).

3. Petro alikanusha kuwa mfuasi wa Yesu mara tatu bali alimlaani. (Mathayo 26:69-75).

4. Yuda Iskariote alimuuza Yesu kwa shilingi 30 tu. (Mathayo 26:15).

5. Wakati Yesu alikuwa hatarini, wanafunzi waliendelea kulala). Mathayo 26:40-45; Marko 14:36:041).

6. Yuda alijinyonga. (Mathayo 27:5).

7. Imani ya wanafunzi: “Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu” (Mathayo 17:20).

8. Ndipo wanafunzi wote wakamwacha wakakimbia. (Mathayo 26:50).

9. Wengi wataniambia siku ile; Bwana, Bwana hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri. Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. (Mathayo 7:22-23).

Hapa juu umesoma hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu sawa na Biblia. Sasa utapata mwanga wa yale maswali yako , nitaendelea kukujibu baadaye
 
Kujibu maswali yako na tuanzie hapa

WANAFUNZI WA YESU

Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya; Wa kwanza Simon aliyeitwa Petro, na Andrea nduguye; Yakobo wa Zebadayo, na Yohana nduguye; Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo; na Thadayo; Simon Mkananayo, na Yuda Iskariote, naye ndiye mwenye kumsaliti. (Marko 10:2-4)...

Hujajibu maswali yangu kwa sababu umejua ukiyajibu nitatolea ufafanuzi zaidi na watu humu watapata ufahamu utakao wafanya wajielewe na watatafakari kujua kuwa hee! Kumbe huku tuliko shetani katulaghai kwa kutumia sehemu tu maneno ya Manabii wa Mungu ikiwemo Musa na akamtumia nabii wake kuanzisha dini yake.

Kwa maelezo ambayo nimesha ya toa huko nyuma kwa mfano mwenye akili kesha jua Roho Mtakatifu ni nani na ni nini kwa mujibu wa Biblia. Na sitegemei Biblia itumike tena na mawskala wa shetani kusema nabii fulani ndiye Roho Mtakatifu na alitabiriwa na Biblia kwamba atakuja baada ya Yesu.

Shetani na mawakala wake watafute sehemu nyingine ya kumhalalisha si Biblia.
 
Kiusalama haikuwa sahihi kabisa,Samia kuruhusiwa kufanya ziara ya siku 7 Tanga huku Rais Magufuli akiwa anaumwa Sana.Ukifuatilia Samia alivyotangaza msiba, kauli za CDF na itifaki zilivyoongozwa Kuna. Wakuu na wabobez ni nani anayetoa vibali za ziara za viongozi?
 
Hujajibu maswali yangu kwa sababu umejua ukiyajibu nitatolea ufafanuzi zaidi na watu humu watapata ufahamu utakao wafanya wajielewe na watatafakari kujua kuwa hee! Kumbe huku tuliko shetani katulaghai kwa kutumia sehemu tu maneno ya Manabii wa Mungu ikiwemo Musa na akamtumia nabii wake kuanzisha dini yake.

Kwa maelezo ambayo nimesha ya toa huko nyuma kwa mfano mwenye akili kesha jua Roho Mtakatifu ni nani na ni nini kwa mujibu wa Biblia. Na sitegemei Biblia itumike tena na mawskala wa shetani kusema nabii fulani ndiye Roho Mtakatifu na alitabiriwa na Biblia kwamba atakuja baada ya Yesu.

Shetani na mawakala wake watafute sehemu nyingine ya kumhalalisha si Biblia.

Nimekujibu labda akili yako ni ya mgando. Hivi hizi habari zote za yesu, Roho Mtakatifu na mitume wengine , wewe si umezipata kwa kusoma biblia.

Kwa hivyo Mwanzo unatakiwa ufahamu kuwa Biblia si kitabu kinachotoka kwa Mwenyezi Mungu.

Vitabu vitukufu vilivyoteremshwa na Allaah Aliyetukuka ni Suhuf (nyaraka) za Nabii Ibraahiym (‘Alayhis Salaam), Taurati ya Nabii Muusa (‘Alayhis Salaam), Zaburi ya Nabii Daawuud (‘Alayhis Salaam), Injili ya Nabii ‘Iysa (‘Alayhis Salaam) na Qur-aan ya Nabii Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam).

Biblia ni neno lililotokana na neno la Kigiriki Biblios lenye maana ya mkusanyiko wa vitabu vingi.

Biblia yenyewe inatuhakikishia kuwa kuna mikono ya waandishi iliyoingia katika kutunga walichotaka ndani yake.

Hii ni kwa mujibu wa Yeremia 8: 8:

“Mnawezaje kusema: ‘Sisi tuna hekima, sisi tunayo sheria ya Mwenyezi-Mungu,’ hali waandishi wa sheria wameipotosha sheria yangu?”

Kulingana na wanazuoni wa Biblia, hata utunzi wa vitabu vya Agano la Kale na Anaajiyl (wingi wa Injili) zenyewe zina shaka na utata.

Taurati

Vitabu vitano vya kwanza vya Biblia (Pentateuch - Mwanzo, Kutoka, Walawi, Hesabu na Kumbukumbu la Sheria.) kiada zinanasibishwa na Nabii Muusa (‘Alayhis Salaam), hata hivyo, zipo aya nyingi sana katika vitabu hivi ambazo zinaashiria kuwa haiwezekani kwa Nabii Muusa (‘Alayhis Salaam) kuwa aliandika kila kitu ndani yake.

Kwa mfano, Kumbukumbu la Sheria 34: 5 – 8 inayosema:

Basi Mose (yaani Musa) mtumishi wa Mwenyezi Mungu akafariki huko nchini Moabu kulingana na neno la Mwenyezi Mungu alilosema. Mwenyezi Mungu akamzika katika bonde la Moabu, mkabala wa mji wa Beth-peori; lakini mpaka leo, hakuna mtu ajuaye mahali alipozikwa. Mose alikuwa na umri wa miaka mia moja na ishirini alipofariki; macho yake yalikuwa hayajafifia, na alikuwa timamu na mwenye nguvu. Waisraeli waliomboleza kifo chake kwa muda wa siku thelathini kwenye nchi tambarare ya Moabu. Kisha siku za matanga na maombolezo ya kifo chake zikaisha”. Ni dhahiri kuwa mtu mwengine ndiye aliyeandika aya hizi kuhusu kifo cha Nabii Muusa (‘Alayhis Salaam).

Katika kiambatisho cha RSV kilichopatiwa anwani “Books of the Bible – Vitabu vya Biblia”, yafuatayo yameandikwa kuhusu utunzi wa zaidi ya thuluthi ya vitabu vilivyobakia katika Agano la Kale:

Vitabu​
Mtunzi​
Judges (Waamuzi)Huenda akawa ni Samueli
Ruth (Ruthu)Huenda akawa ni Samueli
First Samuel (1 Samueli)Hajulikani
Second Samuel (2 Samuel)Hajulikani
First Kings (1 Wafalme)Hajulikani
Second Kings (2 Wafalme)Hajulikani
First Chronicles (1 Mambo ya Nyakati)Hajulikani
Esther (Esta)Hajulikani
Job (Yobu)Hajulikani
EcclesiastesHajulikani
Jonah (Yona)Hajulikani
Malachi (Malaki)Hakuna chochote kinachojulikana

Hata Zaburi nayo ina matatizo kwani katika Sura ya 72: 20 inasema: “Mwisho wa sala za Daudi mwana wa Yese”. Lakini Zaburi inaendelea hadi Sura ya 150. Je, ni nani aliyeandika Zaburi 73 – 150? Sura ya 73 ina kichwa cha habari: Haki itatawala (Zaburi ya Asafu). Je, huyu Asafu ni nani?

Apocrypha

Zaidi ya nusu ya Wakristo duniani ni Wakatoliki. Nakala yao ya Biblia ilichapishwa mwaka wa 1582 kutoka kwa Jerome’s Latin Vulgate (Biblia ya Kikatoliki ya Jerome), na kunakiliwa tena hapo Douay mwaka wa 1609. Agano la Kale la Roman Catholic Version (RCV – Nakala ya Kikatoliki) ina vitabu saba zaidi kuliko KJV inayotambulika na Waprotestanti. Vitabu hivi vya ziada zinajulikana kama Apocrypha (yaani utunzi wenye shaka) na zilitolewa kutoka katika Biblia katika mwaka wa 1611 na wanazuoni wa Biblia wa Kiprotestanti.

Anaajiyl

Aramai ilikuwa ndio lugha iliyokuwa ikitumiwa na Mayahudi huko Palestina. Kwa hiyo, inaaminika kuwa Yesu na wanafunzi wake walizungumza na kufundisha kwa Kiaramai. “Simulizi za kwanza ya mdomo za matendo ya Yesu na kauli zake bila shaka zilisambaa kwa Kiaramai. Hata hivyo, Injili nne ziliandikwa kwa ukamilifu wake kwa maneno mengine, Kiyunani ya kawaida, lugha iliyokuwa ikitumika katika dunia ya Kistaarabu ya Mediterania, ili kutumikia wengi katika Kanisa, ambayo ilikuwa ni ya Kiyunani (wenye kuzungumza Kigriki) badala ya Kipalestina. Mabaki ya Kiaramai yalikuwepo katika Anaajiyl za Kiyunani. Kwa mfano, katika Marko 5: 41, “Kisha akamshika mkono, akamwambia, ‘Tal’itha cu’mi’, maana yake, ‘Msichana mdogo, nakuambia amka’”. Pia Marko 15: 34: “Saa tisa alasiri Yesu akalia kwa sauti kubwa, ‘Eloi, Eloi, lama sabachthani?’ maana yake, ‘Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?’” (Encyclopedia Americana, Mj. 3, uk. 654).

Injili ya Marko katika Agano Jipya, japokuwa inachukuliwa na wanazuoni wa Kanisa kuwa ndio kongwe kabisa kati ya Anaajiyl, haikuandikwa na mwanafunzi wa Yesu. Wamehitimisha wanazuoni wa Biblia, kutegemea na dalili zinazopatikana katika Injili, kuwa Marko mwenyewe hakuwa mwanafunzi wa Yesu. Zaidi ya hayo, kulingana na wao, haijulikani kamwe huyu Marko alikuwa nani kwa uhakika. Mwandishi wa kale wa Kikristo, Eusebius (325 BI), alipokea kuwa mtunzi mwengine wa zamani, Papias (130 BI), alikuwa wa kwanza kuinasibisha Injili kwa John Mark (Yohana Marko), mwandani na mfuasi wa Paul (Paulo). Wengine wametoa rai kuwa huenda alikuwa mwandishi wa Petro na ilhali wengine wanaona kuwa huenda alikuwa mtu mwengine kabisa.

Hiyo ndiyo hali ya Injili nyingine. Japokuwa Mathayo, Luka na Yohana yalikuwa majina ya wanafunzi wa Yesu, waandishi wa Injili hizo waliokuwa na majina ya wanafunzi hao mashuhuri, lakini ni watu wengine ndio waliotumia majina yao ili maelezo yao yapate kusadikika. Kwa hakika, Injili zote zilisambaa hapo awali bila majina. Baadaye majina yenye kuaminika yalipatiwa kama watunzi wa Injili hizo na watu wasiojulikana katika kanisa za awali.

Vitabu​
Watunzi​
Gospel of Matthew (Injili ya Mathayo)Hajulikani (“Japokuwa yupo Mathayo aliyetajwa katika orodha tofauti za wanafunzi wa Yesu… mwandishi Mathayo kwa kiasi kikubwa hana jina” (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 824).
Gospel of Mark (Injili ya Marko)Hajulikani (“Japokuwa mtunzi wa Marko huenda akawa hajulikani…” (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 826).
Gospel of Luke (Injili ya Luka)Hajulikani (“Sheria ya Muratori inamtaja Luka, tabibu, mwandani na mfuasi wa Paulo; Irenaeus anamuonyesha Luka kuwa ni mfuasi wa Injili ya Paulo. Eusebius anamuweka Luka kuwa ni tabibu wa Antiocha, ambaye alikuwa na Paulo ili kuipatia Injili mamlaka ya kiutume” (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 827).
Gospel of John (Injili ya Yohana)Hajulikani (“Kutokana na dalili za ndani, Injili hii iliandikwa na mwanafunzi mpenzi ambaye jina lake halijulikani” (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 828).
Acts (Matendo)Mtunzi wa Luka (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 830.)
I, II, III John (1, 2, 3 Yohana)Mtunzi wa Yohana (The New Encyclopaedia Britannica, Mj. 14, uk. 830).
 
Gavana Maneno yako mengi hayasaidii.
Musa hakushushiwa Tourati. Mungu alikutana na Musa Mlimani Sinai na kumuandikia vibao viwili vya zile Amri 10.

Wana wa Asafu walichaguliwa na Daudi ilikuwa sehemu ya kusifu na kumuabudumu Mungu katika hema ya kukutania. Daudi alikuwa na Roho wa Mungu/Mtakarifu baadacya kupakwa mafuata na Swameli,. Na huyu Roho wa Mungu ndio alimsaidia katika kuandika na kuimba Zaburi kutokana na changamoto mbalimbali za maisha yake. Kumbuka Daudi alimumbia na kumpigia kinubi mfalme Ssuli kupoza yule roho mchafu aliye mvaa na kumuingia kutoka kwa Mungu baada ya Sauli kukengeuka na kunyanganywa Ufalme na Roho wa Mungu na kumtoka ndani yake. Tafuta kwenye Biblia utaona.

Kama hujui Roho Mtakatifu ni kitu gani mpaka kufikia kudanganywa kuwa ni mtume au nabii. Wakati ukweli ni Roho wa Mungu anaye ishi ndani ya watu wake.

Walioandiki Agano Jipya waliongozwa na Roho Mtakatifu. Yohana na Paulo ni mfano mmoja wapo.
 
Sehemu pekee katika Biblia alipotajwa Roho Mtakatifu ni katika Yohana 14:26;

“Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote niliyowaambia.

“Ni kipi kile ambacho Roho Mtakatifu ameleta au kufundisha kwa miaka 2000 iliyopita?26.Wakristo wanasema kwamba Msaidizi maana yake ni Roho Mtakatifu

(Yohana 14:26) Yesu alisema katika Yohana 16:7-8. “Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu;” Hii haiwezi kumaanisha Roho Mtakatifu; kwa vile Roho Mtakatifu inasemekana kwamba alikuwepo hata kabla ya Yesu hajazaliwa kama ilivyo katika Luka 1:41 “Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu”.

Hapa, Roho Mtakatifu vile vile alikuwepo wakati wa Yesu: sasa vipi hii imaanishe kwamba ni sharti aondoke Yesu ndipo Roho Mtakatifu aweze kuja?

Katika Yohana 16:7-8, inasema; “Bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.”

Je, hii “Yeye” hapa inamaanisha nini? Je, viwakilishi hivyo havimaanishi mtu mwanamume?

Je, Roho Mtakatifu anazungumza na Wakristo wema na waovu vile vile?

Je, Roho Mtakatifu yu pamoja nao wakati wote au wakati fulani tu?

Je, ni wakati gani anaanza kumtembelea mtu atakaye kuwa Mkristo?

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?

Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi?

Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi?

Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
 
Gavana umesema Uongo. Roho Mtakatifu/Roho wa Mungu katajwa sehemu nyingi. Agano Jipya takribani mara 90.
Mwanzo 1:2 Roho wa Mungu aliatamia giza lililo kuwa juu ya kilindi cha maji yaliyo ifunika nchi kuonesha kile kikichoatamiwa kilikuwa kitakatifu. Alimuingia Mariamu Mama wa Bwana Yesu kuonesha mimba ile na kilichoko tumboni mwake ni Kitakatifu.

Sauli Mfalme wa kwanza wa Israel baada ya Taifa hilo kuongozwa na Waamuzi alingiwa na Roho Mtalatifu akacheza kama manabii aliokutana nao wakati anatoka kupakwa mafuta akirudi nyumbani kwa baba yake kutoka kuwatafuta punda waliopotea kutimiza mpango wa Mungu juu ya Sauli. Hii inaonesha Manabii wa kweli wa Mungu acha akina balamu walikuwa wamejazwa Roho wa Mungu.

Kusema kweli ukitafakari Hannah mama wa kuhani Samweli naye alijawa na Roho Mtakatifu. Kama utaunganisha maneno yale yaliosemwa siku ya Pentekosti kwamba wamelewa mvinyo mpya asubuhi. Eli alimtuhumu Hannah kuwa kalewa asubuhi asijue kuwa alijawa Roho wa Mungu na aliye muongoza kufanya maombi kwa kuugulia 1Samweli 1 na Matendo 2. Kimsingi hii mistari uliyo inukuu ya Yohana ilitimilizwa hapo Matendo 2.

Mkristo aliye mkubali Bwana Yesu, Akatubu dhambi zake aka Batizwa na kuwekewa mikono na Mtumishi wa kweli wa Mungu jua fika ana Roho wa Mungu ndani yake.

Ni kuulize Gavana huyo Mtume ambaye shetani na mawakala wake hudanganya wafuasi wa imani hiyo kwa kutumia nukuu za Mistari ya Biblia kuhusu Roho Mtakatifu. Je alikuwa ndiye àliye kuwa akiatamia juu ya maji wakati wa uumbaji? Je ndiye aliye atamia mimba ya Bwana Yesu tumboni mwa Mariamu mamaye Yesu? Jibu ni rahisi hapana. Ndio uone shetani alivyo baba wa uongo wote na hata mawakala wake walivyo waongo na wapotoshaji wa Neno la Mungu/Biblia. Wamewadanganya wengi kwa mamilioni hakika wameishia na wataendelea kuishia motoni kama Neema na Rehema za Mungu hazitafungua akili zao na kuamua kufuata njia sahihi na kuachana na hii njia ya uongo.

Kinachotokea kufanya kutokuona kujidhihirisha kwa huyo Roho wa Mungu ni dhambi za baadhi ya wa Kristu. Ukitenda dhambi unamuhuzunisha Roho wa Mungu hivyo hawezi kujidhihirisha na kuonesha nguvu na uweza wake.

Hili la Biblia kuwa ziko matoleo mengi nilikuambia huko nyuma wale wa siku ya Pentekosti walipojawa Roho Mtakatifu walishuhudia matendo ya Mungu kwa lugha za mataifa yote ya Dunia. Usitegemee Biblia ya kufanana Neno kwa Neno angalia maudhui ya mstari husika.

Kumbumbuka hili shetani ni baba wa uongo wote. Hivyo hivyo mawakala wake huko mitandaoni unako nukuu haya maandishi yako. Jeepushe na uwakala wa shetani maana hatima yako itakuwa lile tanuri liwakalo moto milele yote/jehanamu.
 
Habari wadau

Zimeshapita kama siku tatu ,tangu chuma kipatwe na kutu na kuliwa.

Chuma hiki kilikuwa na kazi nyingi sana kwa sisi watu wa hali ya chini kuliko hata wale matajiri.

Matajiri wao walikitumia kutengenezea ndege, madaraja ya juu na chini n.k.

Lakini sisi watu wa hali ya chini pia tulitumia chuma hiki kutengenezea vifaa vya matibabu, kujengea madawati kwa ajiri ya watoto wetu. Wanyonge tulikitumia hiki chuma kama silaha dhidi ya watu wakorofi, wanyang'anyi, majambazi n.k.

Ila kwa sasa Chuma hiki hatupo nacho tena, kiukweli kilitukomboa sana katika mambo mengi.

Siku kabla ya chuma kuliwa na kutu, niliwauliza wenzangu chuma kipo wapi? Wakasema chuma wanacho kipo ndani wanakitumia eti wanakinoa kukiongezea makali.

Leo nilipoamka tu nikawauliza je bado kile chuma mnacho? Wakanijibu tuliogopa kukwambia sababu tulijua tungekwambia ukweli kwamba chuma kishaliwa na kutu usinge tuelewa.

Wenzangu wakaendelea kunambia eti "ila usijali bibi kingongwe kabla ya chuma akijaliwa na kutu chote ,tulijaribu kukata kipande kilichokizima tukakibakisha nacho kitatusaidia sisi sote".

Hakika chuma kimeliwa na kutu, lakini bado tumebaki na kipande cha chuma hicho kitakachotufaa ss sote.
 
Iron Lady ameanza yuko vizuri tunategemea muendelezo mwema kutoka kwake awe makini na wasaidiz pamoja na wasimamizi walioachwa na chuma.

# Mungu mbariki Mama
# Mungu ibariki Tz
 
Si bora kutu kuliko mwenyekiti pigo zimeliwa na Faru John
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom