Rais wa Yanga achia ngazi

Watu walichukulia poa alichokua akifanya gamond bt kwa sasa majibu wameyapata.

Side hamna kocha pale, alipaswa abaki huko huko.
 
Sijui Hersi alivuta bangi gani? Unafukuza kocha wiki moja kabla ya kuelekea mechi ngumu za ligi ya mabingwa?

Sawa basi, ukamleta kocha gani?

Hizi mechi niliwaambia hatutoshinda hata moja.
Nifah ulifanya kosa kubwa sana kuwa shabiki wa Uto😀😀
 

Wenzio waliyo ona saed wakadhan ni saidi, mwenzao katika imani ya myaazi.. Waka panic, waka kurupuka kumfukuza manuel/immanuel/gamondi...
 
Tulisha SEMA sana kosa la injinia ni kuwabeza na kuwaondoa walio msaidia kutwaa ubingwa na kuwakumbatia akina kamwe kuwa ndiyo wenye mipango ya kuiendeleza klabu na kuiingizia pesa nyingi,huwezi kuwaacha akina haji mfikilwa,manara eti umkumbatie akina priva na kamwe ambao wanaunda Hadi ubaguzi kwa wahamasishaji wengine ambao tangu yanga ya bakuli walikuwemo.
 
Yanga ilitakiwa saa hizi mshazingira nyumba yake dadeq atoke awaachie timu yenu - pitisheni bakuli ka zamani msonge mbele laah mnashuka daraja kuku nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…