Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #81
Sawa basi umeshinda. Inaelekea unapenda sana ligi. Amini unachoaminiWewe ni mtu ambaye hujui siasa za mashariki ya kati.
Kaketi ujifunze,ndio maana unaokoteza okoteza habari za UONGO.
Hakuna impact yeyote ambayo ni positive kwa USA ama Israel kumuua rais wa Iran.
Kwasababu maamuzi mengi makubwa anatoa Ayatollah Khomeini kiongozi wa dini wa Iran.
Kama kuuliwa alitakiwa auliwe yeye ndio ingekua pigo kubwa kwa Iran.
Narudia tena HUJUI SIASA za mashariki ya kati usidanganye watu humu.
Acha kulisha udwanzi ...Investment ya fedha za viwanda huko China zinatoka USA china ni cheap labourChina hamtegemei kibiashara USA na wala hamuibii teknolojia USA.
Inaonekana uko mis informed sana.
Acha kukaa vijiweni fanya tafiti.
Hiyo China unayoibeza sasa hivi ndio inaongoza kwenye uwekezaji wa R&D.
Hiyo China ndio inaongoza kwa contribution of manufactured goods duniani.
Hiyo China unayoibeza ndio nchi pekee iliyokopesha fedha sawa na IMF/WB.Kitu ambacho USA akikifanya anafirisika on the spot.
Hiyo China unayoibeza ndio inayoongoza kwa gold reserves na dollar reserve duniani.
Embu kaeni msome msichukue stori za vijiweni.
Mbaya zaidi Putin hajawahi kutoa msaada hata wa kiberitiNaona leo umejitutumua mama yangu!
Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.
Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!
Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli
Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Ni mswahili ndiyo maanaHuyu mama ame zowea tabia za uswahili. Ukiwa kiongozi hutakiwi kuwa mtu wa mipasho.
Mipasho waachiwe waimba taarabu
Anataka asifiwe kila saaTatizo moja la ukishakua Rais unashidwa kutambua adui wa kweli nani mwisho wa siku unajikuta chali na hiyo ni kuendekeza machwa wanaokuzunguka hakuna kitu kibaya kama kupenda kuskia mazuri tu mabaya yako utaki kuyaskia mwisho wao unakuaga sio mzuri.
Mbaya zaidi Putin hajawahi kutoa msaada hata wa kiberiti
Naona hata alichoongea kilikua hakieleweki, analaumu kuwa Watu wamestushwa na kifo cha kibao lakini pia anasahau kuwa yeye kaagiza pia Polisi wampe report haraka..... eeghh MUNGUNaona leo umejitutumua mama yangu!
Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.
Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!
Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli
Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Hilo lipo waziUnaweza kukuta Mungu anajua Tanzania ndio ina wajinga wengi duniani halafu sisi hatujui
Kwa kifupi asingeongelea sana ile issue.Naona hata alichoongea kilikua hakieleweki, analaumu kuwa Watu wamestushwa na kifo cha kibao lakini pia anasahau kuwa yeye kaagiza pia Polisi wampe report haraka..... eeghh MUNGU
Alijazwa upepo na Kiduku asivyo na akili akaingia mzima mzimaKazi yake kuu ni kuuza silaha. Kataitishwa na Ukraine saivi hadi anaenda kuomba silaha Iran na North Korea
Acha uzwazwa na ukae chini utafiti.Acha kulisha udwanzi ...Investment ya fedha za viwanda huko China zinatoka USA china ni cheap labour
Yaani hajui hata anafanya nini halafu tutegemee nchi kupata maendeleoNaona hata alichoongea kilikua hakieleweki, analaumu kuwa Watu wamestushwa na kifo cha kibao lakini pia anasahau kuwa yeye kaagiza pia Polisi wampe report haraka..... eeghh MUNGU
Ila duh katusimanga sanaKwa kifupi asingeongelea sana ile issue.
Maana tayari ma analyst wa M16 na CIA saivi wanasikiliza hotuba yake na kuandika opinion kwa viongozi wao.
Hatushindani bro kama ulikua unashindana basi ni wewe mie nipo kujifunza tu.Sawa basi umeshinda. Inaelekea unapenda sana ligi. Amini unachoamini
Tutakaopata shida ni sisi wabara yeye atarudi kwao Zanzibar halafu sisi tutanyimwa misaadaKwa kifupi asingeongelea sana ile issue.
Maana tayari ma analyst wa M16 na CIA saivi wanasikiliza hotuba yake na kuandika opinion kwa viongozi wao.
Marekani ni shughuli nyingine kabisaHuyu ambsye nae kibiashara anamtegemea Marekani? Hadi kiteknolojia anategemea kumuibia mmarekani?
It's a denial stage, and denial is never a solution to any problem.Naona leo umejitutumua mama yangu!
Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.
Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!
Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli
Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Ingieni porini kama hamtishwi ili uone kweli Putin ndo anategemewa?Naona leo umejitutumua mama yangu!
Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.
Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!
Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli
Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Urusi silaha anazochukua Iran ananunua na N.Korea ananunua pia.Kazi yake kuu ni kuuza silaha. Kataitishwa na Ukraine saivi hadi anaenda kuomba silaha Iran na North Korea