Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

Rais wangu Samia wale jamaa hawatishiwi!

Urusi silaha anazochukua Iran ananunua na N.Korea ananunua pia.
Russia ndio main distributor wa petroleum energy Eastern Europe na Western Europe,Germany asilimia kubwa ya nishati mafuta na gesi anategemea Russia
Pia Russia ni miongoni mwa wauzaji ngano wakubwa duniani.
Kitendo cha yeye kuanza kununua silaha kwenye vita ndogo aliyodhani angeshinda ndani ya wiki unakichukuliaje?

Ndo mana nakuchukulia utakuwa mtoto mdogo sana. Huangalii mambo kwa upana wake.
 
Naona leo umejitutumua mama yangu!

Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.

Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!

Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli

Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
NDIYO KINGA YENU CHADEMA? MABALOZI SIYO
 
Aiseee uyu Bibi leo kabolonga mazeee baada ya kutafuta ways
Yeye anafanya comparison ya vifo
....mpaka sijasikia ugunya na pemba katemkwa mtu........
 
Usipotoshe watu kaka.
Hiyo helikopta aliyotumia Ebrahim Raisi ilikua ni outdated toka 1970s.
Na haikufanyiwa service toka mwaka huo.
Spare zenyewe USA walikataa kuwauzia Iran wakiwaekea zuio.
Kilichomuua ni uchakavu sio kuzimiwa mitambo.
Kosugi, kuwa siriaz basi, yan Chombo cha usafiri,kama ndege iwe haijafanyiwa service toka mwaka 1970??? duh,kama ndivyo basi
1. Iran hawako makini
2. Iran wamemuua Rais wao
3. Irani hawajitambui
4. Iran ni maskini sana.

Haiwezekani, na haiwezekani toka mwaka ,1970 ndege iwe inafanya kazi bila service.

Taarifa yako ina walakini!
 
Kitendo cha yeye kuanza kununua silaha kwenye vita ndogo aliyodhani angeshinda ndani ya wiki unakichukuliaje?

Ndo mana nakuchukulia utakuwa mtoto mdogo sana. Huangalii mambo kwa upana wake.
Russia kununua silaha North Korea au Iran haimaanishi kaishiwa silaha.
Hizo ni war strategy tu.
Mwaka jana Russia kauza weapon unit 1290+.
Pia wenyewe NATO wanakwambia uzalishaji silaha Russia umezidi mara dufu ya mwanzo.
Ndio maana nikakwambia kuna mambo mengi kuhusu geopolitics hujui.
Na hapa utasema tunabishana.
Screenshot_2024-09-17-17-46-22-09_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-17-17-46-39-24_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Naona leo umejitutumua mama yangu!

Umewapiga biti kweli na kuwaeleza wasikupangie cha kufanya. Na umewatisha kweli.

Tahadhari yangu kwako. Wale jamaa hawajibiwi hovyo. Kukaa kimya nayo ni busara tu na hutapungukiwa chochote!

Najua unawajua kina Sadam Hussein, Muamar Gadaffi, Gamal Abdi Nasser, The late former president of Iran, Mugabe, Patrice Lumumba na wengineo wengi. Basi usisahau hata mtangulizi wako Magufuli

Kama unaishi nyumba ya vioo usirushe mawe. Unayemtegemea Putin anapigana vita Ukraine mwaka wa 3 sasa na hajui atashinda lini.
Hatuwezi kupata maendeleo kwa kuiacha CCM madarakani!
 
Kitendo cha yeye kuanza kununua silaha kwenye vita ndogo aliyodhani angeshinda ndani ya wiki unakichukuliaje?

Ndo mana nakuchukulia utakuwa mtoto mdogo sana. Huangalii mambo kwa upana wake.
Akili za bawacha bwana hivi unajua ni kiasi gani mpaka Sasa USA pamoja na NATO na mataifa mengine wamewekeza Toka vita vimeanza kwenye vita unayoiona wewe ndogo?

Basi wambieni hao mabwana zenu wawasaidie na nyie siraha muingie porini muone Cha moto.
 
Hawa Wakulungwa huwa hawana dogo!
 
Attachments

  • Screenshot_2024-09-09-15-06-11-679_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_2024-09-09-15-06-11-679_com.instagram.android.jpg
    375.6 KB · Views: 2
Kosugi, kuwa siriaz basi, yan Chombo cha usafiri,kama ndege iwe haijafanyiwa service toka mwaka 1970??? duh,kama ndivyo basi
1. Iran hawako makini
2. Iran wamemuua Rais wao
3. Irani hawajitambui
4. Iran ni maskini sana.

Haiwezekani, na haiwezekani toka mwaka ,1970 ndege iwe inafanya kazi bila service.

Taarifa yako ina walakini!
Sio mimi walosema ni wenyewe Iran.
Tokea utawala wa kiislam uingie waliwekewa vikwazo vya kununua hizo helikopta pamoja na spare zake.
Aya wewe niambie wangewezaje kuifanyia ukarabati kwa vifaa vya wapi!??
 
Na una amini kuwa Helcopter waliyompandisha Rais wao haikufanyiwa service tangu mwaka 1970's

We kweli zuzu
 
Na una amini kuwa Helcopter waliyompandisha Rais wao haikufanyiwa service tangu mwaka 1970's

We kweli zuzu
Sasa kama wamesema IRGC wenyewe ambao ndio walikua wanaitumia hiyo helikopta sana sana kama ambulance mie nibishe kwanini!??
 
Back
Top Bottom