Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia, Joice Banda wa MalawiToa mfano wa bara la Africa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia, Joice Banda wa MalawiToa mfano wa bara la Africa.
Ndo imeshatokea tu lakin kuna changamoto nyingi rais mwanamke., wakati akienda kujifungua nchi itakuwa kwenye likizo mpaka amalize siku 40, akiwa mja mzito nako pia ni changamoto kuna miezi fulani pale hataweza kuwajibika sawa sawa.
Good! Ellen Johnson shule imepanda kuliko rais wetu, hata hivyo alistahili sifa sana hasa kwa kuwa aliingia ofisini kwa kupigania nafasi. Liberia ikiwa ktk hali hovyo kabisa, hadi akaitoa kwenye shida. Tatizo ni wao waliingiza ushabiki wa mpira na kumchagua George Weah ambaye ni mwanaume na ni bure kabisa!! hawezi hata kutoa hotuba.Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia, Joice Banda wa Malawi
Juzi kati alikwenda Uganda...Mimi naona apate ziara moja aende Ughaibuni (official visit) akapigiwe mizinga 21 na heshima zote ili aongeze kujiamini na ajue kabisa ndani ya dunia hii yeye siyo wa Rais kwanza mwanamke.
Kina Queen Elizabeth wametawala dunia miaka na miaka. Majukumu mazito kuliko aliyonayo.
Wewe ni mwanadamu wa jinsia ya kike. Kila mtu anafahamu juu ya matatizo ya jinsia katika dunia hii na kila nchi inajitahidi kuondoa matatizo hayo. Njia mojawapo ni kuachana na hali ya kulinganisha jinsia hizi ktk kazi, ili tuzifunike tofauti hizo.
Tangu Samia uliposhika nafasi ya urais, kila hotuba yako imekuwa ni kama nafasi ya kujitetea kwamba unaweza nafasi hiyo, na kuwatetea wanawake wenzako. Ombi langu kwako, achana na kujitetea.
Angalia unavyoshangiliwa na wanawake wenzako, wakiona kama ni mafanikio yao kumbe wengine hawawezi kama wanaume wengine wasivyoweza.
Mfano mzuri dunia hii ni Margret Thatcher na sasa ni yule ‘binti’ mdogo anayeiongoza serikali ya Finland, Sanna Marin kama alivyokuwa Thatcher hataki kabisa kukaribisha jambo hilo la kuonesha wanawake wanaweza au hawawezi. Kwake yeye ni kiongozi na siyo kiongozi mwanamke.
Support - naona kama kuna kukomoa komoa wanaume vile! Kana kwamba maisha yanaishia hapa! Yaani kama michezo wa draft!Good! Ellen Johnson shule imepanda kuliko rais wetu, hata hivyo alistahili sifa sana hasa kwa kuwa aliingia ofisini kwa kupigania nafasi. Liberia ikiwa ktk hali hovyo kabisa, hadi akaitoa kwenye shida. Tatizo ni wao waliingiza ushabiki wa mpira na kumchagua George Weah ambaye ni mwanaume na ni bure kabisa!! hawezi hata kutoa hotuba.
Urais siyo muhimu kwa sababu ya mwanaume au mwanamke. Hakuna sababu ya kuendelea kutaja mimi ni mwnamke, mwanamke, mwanamke. Ni rais, FINITO! Labda kama anataka vigelegele vya wale wanaowinda vyeo maana naona kuna akina mama wanahangaika kushangilia. Tujiamini na akiona mwanamke mwenye uwezo amchangue lakini siyo ku-balance gender mechanically na watu wasio na uwezo kama ilivyo bungeni.
Sasa mama Samia anaenda kujifungua nini tena? Si ni mtu mzima kabisa pale alipo ina maana mumewe hawajazaaga watoto tu?Ndo imeshatokea tu lakin kuna changamoto nyingi rais mwanamke., wakati akienda kujifungua nchi itakuwa kwenye likizo mpaka amalize siku 40, akiwa mja mzito nako pia ni changamoto kuna miezi fulani pale hataweza kuwajibika sawa sawa.
Sex inferiority complexWewe ni mwanadamu wa jinsia ya kike. Kila mtu anafahamu juu ya matatizo ya jinsia katika dunia hii na kila nchi inajitahidi kuondoa matatizo hayo. Njia mojawapo ni kuachana na hali ya kulinganisha jinsia hizi ktk kazi, ili tuzifunike tofauti hizo.
Tangu Samia uliposhika nafasi ya urais, kila hotuba yako imekuwa ni kama nafasi ya kujitetea kwamba unaweza nafasi hiyo, na kuwatetea wanawake wenzako. Ombi langu kwako, achana na kujitetea.
Angalia unavyoshangiliwa na wanawake wenzako, wakiona kama ni mafanikio yao kumbe wengine hawawezi kama wanaume wengine wasivyoweza.
Mfano mzuri dunia hii ni Margret Thatcher na sasa ni yule ‘binti’ mdogo anayeiongoza serikali ya Finland, Sanna Marin kama alivyokuwa Thatcher hataki kabisa kukaribisha jambo hilo la kuonesha wanawake wanaweza au hawawezi. Kwake yeye ni kiongozi na siyo kiongozi mwanamke.
Haya ndio aliyakataa kwenye hotuba yake. Na alisema atawatafuta hata kama mnatumia VPN za Mabeberu ili mje mthibitishe hayo mropokayo mitandaoni.Kuna taarifa ambazo hatuja zisibitisha kuwa kuna walio mshaur ajiuzulu kwa kuwa Ke sasa inawezekana anawajibu wao.
Nani alikwambia mama hawezi kushika mimba pale acheni theory mgando., wewe jibu mama akiwa mjamzito nchi itaongozwa na nani lakini pia akienda kujifungua nchi itakuwa na nani na sheria pale inabidi apewe miezi 3 likizoSasa mama Samia anaenda kujifungua nini tena? Si ni mtu mzima kabisa pale alipo ina maana mumewe hawajazaaga watoto tu?
Makamu wake si yupoNani alikwambia mama hawezi kushika mimba pale acheni theory mgando., wewe jibu mama akiwa mjamzito nchi itaongozwa na nani lakini pia akienda kujifungua nchi itakuwa na nani na sheria pale inabidi apewe miezi 3 likizo
Wewe una theory mgando nani kakwambia mama pale hashiki mimba?YAANI WEWE UNAWAZA KUWA Rais Samia NI WA KUTUNGA MIMBA KWA MAKAMO YALE?? HUJUI KUWA BINTI YAKE NI MBUNGE WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR? NYIE WATU WENGINE NI WANGA TU!