Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Nchi yake ilipovamiwa ulitaka afanyaje kama Rais na amiri jeshi mkuu?
Asimame yeye kama amiri jeshi mkuu na siyo kwenda kuwapigia magoti mabeberu
 
Kwahiyo myahudi kazi yake kuu ni kuwa omba omba?
 
fact is a fact haijalishi unaupenda au kuuchukia. Utabaki kuwa ukweli.
Hiyo unatakiwa wewe ndiyo ujue kuwa huwezi kulazimisha mtu akubaliane na mawazo yako
 
Inatakiwa uwe mjinga sana kuamini kwamba Kama Zelensky angekaa kimya Ukraine ingebaki huru.

Wakati vijana wa Kirusi wanakimbia nchi yao kukataa amri za Putin kuwataka kwenda vitani, vijana wa Ukraine wanaacha Kazi zao kwenda kuipigania nchi yao.

Ukraine wameungana Pamoja kuliko Warusi kwasababu nchi yao imevamiwa. Ni mtu wa ajabu sana anaweza kuona ni sawa kwa nchi yake kuvamiwa.

Russia wameingia choo cha Kike. Walifikiri itakuwa Kama Crimea 2014. Mpaka vita hii iishe watakuwa hoi kiuchumi na kuwatesa watu wao Bila gains zozote.

Zelensky atabaki hero kwenye nchi ya Ukraine.
 
Hero wa kuomba omba! [emoji2] [emoji4] [emoji3]
 
Baltic States wote wako Karibu na Russia tena Karibu Kuke Moscow, Kwanini Russia wakaivamie Ukraine.

Nyie mungelikuwepo 1978 mungeniambia Nyerere a muachie Idd Amin Kagera yetu.

USA ni bingwa wa kujenga. Angalia walivyoijenga Ujerumani Magharibi baada ya vita kuu ya pili. Angalia walivyoijenga Japan. Angalia walivyoijenga South Korea, Angalia walivyo isaidie Poland etc.
 
Inategemea na wakati huo hali ilikuwaje
 
Hero wa kuomba omba! [emoji2] [emoji4] [emoji3]
Mtu kuwa Hero ni uamuzi wa wananchi wake. Churchill ni hero wa Waingereza kwasababu alifanya hicho hicho unachomlaumu Zekensky Leo.

Wakati Putin yuko isolated, Zekensky anazunguka dunia nzima. Kati ya hao Nani kageuka panya?
 
Inategemea na wakati huo hali ilikuwaje
Ilikuwa hivyo hivyo. Idd Amin alituvamia kwasababu tulikuwa tunawasaidia waliokuwa wanampinga.

Mpaka AU kulikuwa na watu wenye akili Kama zako. Eti Tuache kumpiga Idd Amin. Lakini Watanzania wote tulisimama nyuma ya Nyerere na kumpiga.

Ukraine watafanikiwa tu dhidi ya nduli Putin.
 
Je, unaamini hivyo vifaa wanakupatia bureee? Jiandae kuwalipa hao Nato maana hakuna cha bure duniani.
Rasilimali za Urusi zilizokamatwa na kushikiliwa ndo zitatumika..
Mfano huu hapa:-
 
Hero ni Putin maana kaongeza ardhi ya Urusi.
 
Mbona hujasema kama walivyoijenga Iraq, libya, afghanistan na syria?
 
Amen
 
Umeandika mengi ila nakujib kwa ufupi sasa hv soko la urusi limetawaliwa na Uchina .
 
Zelensky ni jemedari la ukweli ambalo limemtoa kamasi Putin hadi anataka kujificha uvunguni.

Zelensky ni mwanachama mtarajiwa wa nato hana anachodaiwa.

Ushindi wa zelensky ndio ushindi wa nato na wa Ukraine kwa ujumla.

Putin kaitia Russia matarizoni na hajui atatokaje.
 
Sawa mkuu
 

Kuna Katiba mpya kweli kwetu kama yako ni mawazo bora kabisa sasa ya mwana CDM kIndaki ndaki kwenye ubora wako mkuu?

Kwamba kumbe Ukraine hakutakiwa kuwa na uamuzi wala mipango yake yenyewe ila kufuata matakwa ya Putin?

Kumbe si tuyafuate matakwa ya ma CCM tu? Si ndiyo yaliyoko madarakani?

Kumbe mnataka katiba mpya ya nini basi?

Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote

Hata za wa Ukraine ni haki pia ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…