JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Magufuli inaelekea anapenda hawa wabunge mbumbumbu ambao hawawezi kuhoji chochote kinacholetwa Bungeni au kufanywa na serikali zaidi ya kuunga mkono kila kitu.Agombee akichukua usishangae na uwaziri akapewa.
Sasa kwa kulitambua hilo, hawa mbumbumbu hawateui mawaziri badala yake anatoa mawaziri wake kutoka kwenye taasisi mbalimbali zenye wasomi nguli ndio hao akina Prof. Ndalichako, Prof. Kabudi, Dk.Mpango. Hawa mbumbumbu kugonga meza na kuleta mipasho ni kazi inayowatosha.