Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Hii ni hoja ya mtu aliyekata tamaa kwa maana kila mtu atakufa tu. Hata uwe mzuri kiasi cha kutokuwahi kukanyaga na kuua sisimizi, utakufa tu! Ila kwa Chadema, hiyo ni kwishnei! Ahahahahaha!!Unakufa mda si mrefu kwa laana ya uliowateka
MahakamaccmKuna mahakama hapo au tawi la ccm tu
Funking judge , fuckis justiceKutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Baraza la Wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA itakaposikilizwa
Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo namba 8323/2025 amesema zuio hilo la muda linakuja kufuatia maombi yaliyowasilishwa Mahakamani hapo na Mawakili wa waleta maombi wakiongozwa na Wakili Gido Thomas Simfukwe ambao waliiomba Mahakama kuweka zuio hilo hadi kesi ya msingi inayoanza kusikilizwa Juni 24.2025 isikilizwe, ambapo kwenye kesi ya msingi waleta maombi wanadai kuwa CHADEMA imekuwa ikiitenga Zanzibar katika masuala mbalimbali ikiwemo mgawanyo wa raslimali fedha nk
Akitangaza uamuzi huo, Jaji Mwanga amesema suala hilo ni la kisheria na haliitaji ubishani kwa sababu limefafanuliwa vyema kwenye sheria ya vyama vya siasa,
Wakati maamuzi hayo yanatolewa, upande wa utetezi (CHADEMA) haukuwa na mwakilishi yeyote Mahakamani, hiyo ni baada ya aliyekuwa Wakili wake Jebra Kambole kutangaza kujiondoa kwenye shauri hilo hatua iliyopelekea Mahakama kuendesha kesi kwa upande mmoja,
Kwa muktadha huo, ni wazi sasa shughuli za kisiasa za ndani (kiutendaji) na za oparesheni kama vile mikutano ya hadhara, vikao vya CHADEMA, vimezuiliwa kwa muda.
View attachment 3363251
Hii ndio picha ya Hakimu wa Mahakama Kuu Hamidu Mwanga aliyetoa uamuzi wa kuipiga CHADEMA marufuku
View attachment 3363259
Source: Jambo
Njama tu hizoKuna tofauti ya kesi ya jinai na madai. Mlaumu wakili wenu kwa kujitoa hivyo kesi kusikilizwa upande mmoja.Na kwenye kesi za madai hayo ni mambo ya kawaida.
ushahidi uko wapi na kwa nini sasa chadema ina tuhuma hiyo vyama vingine hali ikoje?Panakaribia kukucha
Narudia,Jaji wa mchongo,anatumika na SisiemMlaumu babako kutokwenda shule pengine asingekuwa wa mchongo, wapumbavu km nyie kwl ndio mmeshinde.
CCM wana hofu mno ya kuondolewa madarakani.Rule of Law ,kama member wa chama amefungua kesi ni lazima CDM ifuate taratibu za kesi na zinavyotaka ,kama wameambiwa walete docs ni lazima kuleta ili mahakama iamue ukileta uharakati kwenye mahakamana lazima utapigwa RUNGU.
Waliopelekwa mahakamani ni chadema kwa hakika watashinda hiyo kesi mapema tuu japokua ni kesi ambayo imeanzishwa ili kudhibiti mawimbi kwa mikono, suala ya ubaguzi wazanzibari ni wabaguzi kupita kiasi mimi kwa binafsi yangu siwapendi kama ambavyo wao hawa tupendiNdio maana wamekupelekeni Mahakamani kwa huo ubaguzi wenu
hawezi kuacha tone toneCHAUMA watumie FURSA. Wachukue kwa muda akawasaidie!
hamna reform yoyote mnayopigania zaidi ya kutaka kuweka watu wenu wale ela, sasa BOT inahusiana nn na tone tone kijana? hamna mtu mwenye akili timamu ama umaskini unamsumbua atafuata agenda za watu waliovichaaAchaa ushamba wako akina lema mpka kutangazwa washindi baadhi ya wafuasi wa chadema walibaki vilema kwanza kupigania matokeo yasipindishwe
Halafu unajisemea kabisa ulikuwa unafanya kazi BOT kwa akili hizo kisoda labda ulikuwa mfagizi kitu kidg cha reforms ili uwanja uwe sawa umeshindwa kuelewa
umeelewa nlichosema ama umeruka tone toneNo Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi
#NoReformsNoElection
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchiumeelewa nlichosema ama umeruka tone tone
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi
#NoReformsNoElection
NoView attachment 3363528
ukifika apa waambie wewe ni mwana kikundi wa tone tone, watakuruhusu bila kukuchangisha chochote
nakuona verified keyboard warrior, ukiwa nyuma ya keyboard una six packs ila ikifika sasa mda wa kwenda front line unajificha kwenye vibanda vya juice ya miwaNo
Reforms
No
Election
Bata waheid