Bf Tulinagwe
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 211
- 383
Viva Samata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah Uislamu tena mpaka huku; si hayo tungekuwa tunayaacha kwenye vitabu vya yule mwenzetu wa Dola na Kanisa, halafu huku tuongee mpira tu? Huoni pia kuwa unamdhalilisha Samatta kwa kuwa ameajiriwa kwa furaha na waanglikana, tena mlezi wa timu yake mpya ni mwana mfalme (Prince William) ambaye ndiye mkuu wa kanisa la waangalikana?Hongera Samatta.
Ma shaa Allah, Allah akuzidishie kila heri kwako na kwa Uislam.
In shaa Allah kwanza kabisa uwe balozi mwema wa Uislam kwa vitendo vyema vya Kiislam.
Allah akuepushe na husda za walimwengu, akuepushe na fitna za makafiri. Allah akuepushe na vishawishi vya kishetani, Allah akuepushe na shari za wasiwasi zinazoletwa na watu na majinni waovu.
Aaaaaaamiiiiiiiiiiiiiiiiiiiin.
Ma shaa Allah. Heri kubwaaaa hiyo.Dah Uislamu tena mpaka huku; si hayo tungekuwa tunayaacha kwenye vitabu vya yule mwenzetu wa Dola na Kanisa, halafu huku tuongee mpira tu? Huoni pia kuwa unamdhalilisha Samatta kwa kuwa ameajiriwa kwa furaha na waanglikana, tena mlezi wa timu yake mpya ni mwana mfalme (Prince William) ambaye ndiye mkuu wa kanisa la waangalikana?
Hashimu Thabit naye alitutangaza sana ..Wamarekani wengi walikuwa hawaijui TanzaniaJamaa ndio mpambanaji namba 1 akifuatiwa na Domo... Tz tujivunie kuwa na watu kama hawa..
Ukiisikiliza interview yake kaitaja TZ mara nyingi sana .... anamzidi hadi waziri wa mambo ya nje na waziri wa utalii kwa kuotangaza nchi..
MTz pekee ambaye kila mtu anamsupport awe ccm au chadema... jamaa anatuunganisha watz🔥
Najiombea mema pia namuombea na yeye atuwakilishe kwa kupiga magoli nyumbu za epl
Ma shaa Allah. Heri kubwaaaa hiyo.
Uislam hauna tatizo na kuajiriwa na Mkristo au yeyote yule mradi hakuzuii kuabudu - kumbuka hilo.
Sasa unataka nisimuombee dua njema?
Uislam usikutishe kijana ni mwema sana, hata wewe pengine ni Muislam lakini hujijui tu na haujuwi tu ni nini maana
ya Uislam.
Kwa kukujuza tu kuhusu Uislam unatufundisha nini kuhusu Wakristo soma hii...
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: “Sisi ni Manasara.” (Al-Maidah Surah, 5:82)
Manasara = Wakristo.
Du hatari nani makafiri? hao wanaomlipa mshahara au huku mbagala. kwanza makafiri huwa hawana husda ni sisi tunaolala makanisani na misikitini ndio shida yetu.Hongera Samatta.
Ma shaa Allah, Allah akuzidishie kila heri kwako na kwa Uislam.
In shaa Allah kwanza kabisa uwe balozi mwema wa Uislam kwa vitendo vyema vya Kiislam.
Allah akuepushe na husda za walimwengu, akuepushe na fitna za makafiri. Allah akuepushe na vishawishi vya kishetani, Allah akuepushe na shari za wasiwasi zinazoletwa na watu na majinni waovu.
Aaaaaaamiiiiiiiiiiiiiiiiiiiin.
[emoji51] [emoji51] [emoji51] hii sasa balaaKuna mzungu kakoment english, mwenzake kajibu, mbongo kavamia kaandika "oya mnasemaje nyie" wazungu kimya!
Hutaki kujadili "mambo ya dini hapa" wakati wewe ndiye uliyeanza mjadala? Kwa sababu tu FaizaFoxy kamuombea dua Muislam mwenzake aliyepata mafanikio, si ndiyo?Sitaki tujadili mambo ya dini hapa kwani dini nyingine ni sensitive sana wanapoambiwa mambo wasiyotaka kusikia. Kuna jamaa akiitwa Salman Rushdie aliwahi kuandika mambo kuhusu uislamu dunia ya uislamu ilirindima sana.
Kuhusu kuabudu kwenye mikataba ya ajira ni jambo la mtu binafsi siyo jambo la mwajiri. Kama anatakiwa mazoezini, lazima awepo, hawezi kuja na kisingizio cha nilikwenda kuabudu
Tuko pamoja mtu wangu.
Ikitokea liver ikakumbana na villa utasimama upande upi ??Ni hatua nzuri sana nitakuwa nawaombea kushinda mechi zao ili wabaki EPL sababu mimi Liver na Villa sio wapinzani wetu nitawaombea kila mechi yao washinde wabaki katika league ndio muhimu kwa sasa na imani atasaidia team yake.
Pamoja mkuu, nmeongeza timu hapo Chelsea $ Aston Villa.