MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,612
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo wameteka page ya aston villa ni kiswahili kwa kwenda mbele, wazungu wamesalimu amri na english yao.
mkuu wa mkoa anatuambia tunaendekeza umbea mpaka tunachelewa nida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwana Samatta itakuwa kama Jamie Vardy wa Leicester City wote wameingia England Premier League wakiwa wamechelewa lakini Vardy ni mnyama hatari ktk harakati za kulifumamia goal. Na staili ya uchezaji wa Mbwana Samatta na kasi yake upo kama wa Jamie Vardy hivyo tutegemee mabao mengi sana kila wiki toka kwa Mbwana . Tutasikia wimbo wa Sama Sama Goal ! kila mechi toka kwa wapenzi na mashabiki wa Aston Villa.
Source: LCFC
Anaweza kununuliwa hata mwakani kama klabu ikipanda beiNaona miaka minne ni mingi angalau ingekua miwili ili akatumikie vilabu vingine pale Epl akiwa bdo kinda assume saiz ana miaka 27.zaid nampongeza sana mana anaitangaza vema tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima asimame na liver timu yakeIkitokea liver ikakumbana na villa utasimama upande upi ??
Samatta akifunga huwa hasujudu hata siku moja sijawahi kumwonaMa shaa Allah tunataka kumuona Samatta akisujudu kama Salah anapofunga goli au Papa anapotembelea nchi za mataifa.
Si unafahamu wenye kusujudu ni kina nani? Wewe umeshawahi kusujudu toka kuzaliwa?
CCM kwa uongo tu hamjambohuyu samata ni mchezaji wa pili kucheza epl, wa kwanza alikuwa mrisho ngasa, alikipiga west ham
Mlezi wa timu ni mwanamfalme, unafikiri kuna longo longo hapo?Lets not forget..An Aston villa player subject to a work permit and a clearance certificate.Work permit is such a hurdle.. but we wish him well.Hongera zake..