Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

Mungu aliumba binadamu kwa mfano wake na alivyowaumba Adam na Eva wakawekwa kwenye bustani ya edeni na mungu aliwaambia wa sile tunda na walivyokula tunda mungu ndio aliacha laana pale na kusema mwanaume utakula kwa jasho na mwanamke utazaa kwa uchungu na mpaka Leo tunakula kwa jasho
Lakini una amini kwamba Mungu ni mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele.

Omniscient (All -knowing God ).

Sasa Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Je HAKUJUA kwamba Adamu na Eva watakuja kula hilo tunda awadhibiti na kuwazuia mapema wasile?

Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Je hakujua kwamba shetani atakuja kuwepo amdhibiti na kumzuia mapema asiwepo?

Kwanza kwa nini huyo Mungu aliweka hilo tunda bustanini, Wakati anajua halipaswi kuliwa?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
 
Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zinduke I dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini
Mjinga alisema moyoni mwake hakuna Mungu
 
Mawazo ya mungu sio sawa na binadamu na njia za mungu sio sawa na binadamu sasa kama aliwaweka na akawaambia msifanye hivi nyie mkafanya unategemea nini hata yesu au nabii isa nae alijaribiwa na shetani kwa hio hayo mawazo yako ya kuwaza yeye angezuia sijui alijua kwa nini amefanya hivyo sisi binadamu hayatuhusu na ndio maana ndio nimekueleza hapo mwanzo mawazo ya mungu ni tofaiti na chochote unachokijue wewe atabaki kuwa mungu
 
  1. Miungu ya Kidini za Abrahamic:
    • Mungu wa Wakristo (Trinity - Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
    • Mungu wa Waislamu (Allah)
    • Mungu wa Wayahudi (Yahweh)
  2. Miungu ya Hinduism:
    • Brahman (Mungu Mkuu, Nafsi ya ulimwengu wote)
    • Vishnu (Mungu wa hifadhi na ulinzi)
    • Shiva (Mungu wa uharibifu na uumbaji mpya)
    • Lakshmi (Mungu wa utajiri na mafanikio)
    • Durga (Mungu wa vita na ulinzi)
  3. Miungu ya Ujapani (Shinto):
    • Kami (Roho au miungu katika asili na vitu vya kawaida, kama milima, mto, miti)
  4. Miungu ya Wagiriki na Warumi (Mythology):
    • Zeus (Mungu wa mbingu na mvua, mfalme wa miungu ya Kigiriki)
    • Poseidon (Mungu wa bahari)
    • Hera (Mungu wa ndoa)
    • Jupiter (Mungu mkuu wa Kirumi, anayefanana na Zeus)
  5. Miungu ya Wamisri wa Kale:
    • Ra (Mungu wa jua)
    • Isis (Mungu wa upendo na uchawi)
    • Osiris (Mungu wa maisha ya baada ya kifo)
    • Anubis (Mungu wa mazishi na mfalme wa wafu)
  6. Miungu ya Wazulu na Wabantu wa Kusini mwa Afrika:
    • Unkulunkulu (Mungu Mkuu, Muumba)
    • Amadlozi (Miungu ya mababu)
  7. Miungu ya Uajemi (Zoroastrianism):
    • Ahura Mazda (Mungu Mkuu, Muumba)
  8. Miungu ya Wabudha:
    • Katika Ubudha, hakuna mungu mmoja mkuu, lakini kuna Buddha ambaye ni mwanga wa kiroho na kiongozi wa dini.
  9. Miungu ya Wapolatiki wa Wamaasai na Wanyakyusa (Afrika Mashariki):
    • Enkai (Mungu wa Wamaasai na wakiwa na asili ya mvua na maisha)
  10. Miungu ya Wapagani wa Wazungu (Paganism):
  • Gaia (Mungu wa Dunia)
  • Cernunnos (Mungu wa wanyama na misitu)
11. na kadhalika..

so who is who? 🥴
 
mkuu hujasomea Tanzania? mbn akili yako ni pana sana? sasa bhc ndivyo ilivyo tunalishwa tu vitu na hata kumbe usipolishwa hvyo vitu still utaishi kama wengine. ok turudi wahadzabe wao wakifa wataenda wapi? na je dhambi zao nani ana deal nazo? vipi wao kuhusu dini zetu wataunganishwa vipi na je bila dini zetu wao watamjuaje Mungu wa kweli tunaemuabudu.?? kuna mahali tuliachwa parefu sana wazee..kongole mkuu uliejibu hili.
Umejibiwa kila ulicho kitarajia lazima ukione cha maana hata kama ni upuuzi
 
Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zinduke I dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini
Una akili sana kugundua utapeli huu hatari wa mchana kweupe .
 
Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zinduke I dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini
The existence of the devil, as a supernatural entity, is primarily a matter of religious belief and theological interpretation rather than scientific proof.
 
Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zinduke I dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha dini zao uchwara na kweli wajinga ambao ni masikini wanaendelea kuteswa Kwa vitisho vya kuchomwz moto ilihali wanaona kabisa wakifa wanazikwa ardhini

Binadamu wa kwanza ametoka wapi? Na kwanini huyo binadamu amekuwa wa Me na Ke kama alitokea naturally? Factors zipi zilisababisha binadamu awe na jinsia ya kike na mwingine wa kiume? Yupi alianza kutokea katika hizo jinsia?
 
Mawazo ya mungu sio sawa na binadamu na njia za mungu sio sawa na binadamu
Mawazo ya huyo Mungu ni ya kijinga na kipumbavu sana.

Tena afadhali hata mawazo ya kibinadamu yana logic.

Mawazo na njia za huyo Mungu ni Nonsense kabisa!
sasa kama aliwaweka na akawaambia msifanye hivi nyie mkafanya unategemea nini
Kwani yeye si ndiye aliyetuumba na kutupa uwezo wa kufanya kila kitu?

Kwa nini huyo Mungu atupe uwezo wa kwenda kinyume na matakwa yake, Halafu tukienda kinyume anakasirika?

Kama huyo Mungu alikuwa hataki tufanye vitu kinyume na mapenzi yake, Kwa nini alitupa uwezo wa kutenda vitu kinyume na mapenzi yake wakati anatuumba?

Huyo Mungu Alishindwaje kutufanya tuenende kwenye mapenzi na matakwa yake siku zote na wakati wote?
hata yesu au nabii isa nae alijaribiwa na shetani kwa hio hayo mawazo yako ya kuwaza yeye angezuia sijui alijua kwa nini amefanya hivyo sisi binadamu hayatuhusu na ndio maana ndio nimekueleza hapo mwanzo mawazo ya mungu ni tofaiti na chochote unachokijue wewe atabaki kuwa mungu
Huyo Mungu Alishindwaje kuumba dunia isiyo na shetani?

Huyo Mungu je hakujua kwamba shetani atakuja kuwepo amdhibiti na kumzuia mapema asiwepo?

Hivi huyo Mungu wako anajielewa kweli?
 
Back
Top Bottom