Rasmi: Yanga SC yaishinda Mabavu ya Kifedha Simba SC kwenye usajili wa Masoud Djuma

Ulianza vizuri ila baadaye ukaaribu baada ya kuleta tambo nyingi za kijinga.
 
Anajielewa yule. Kaona Benchi linamuwekea sugu za matako akaamua asepe zake.

Sio kama wale wenzake wa upande wa pili Ajibu/Gadiel ambao wamecheza mechi 5 tu ndani ya miaka 2.
Makapu amecheza ngapi??
 
Yeye ni Haji Manara Msemaji wa Simba Sports Club na Mimi ni GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ambaye ni " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " wa si tu JamiiForums hapa bali Tanzania nzima mpaka Mbinguni Kwake Mungu Baba ( Allah )
 
Wewe Sasa nimekuelewa vizur sana ,manara hadi kuandika vile hata mm nilihisi kitu kuwa huyu katumika kusafisha upepo ,na jambo zuri wana yanga walio wengi ni vipofu sana hawajui ukaribu wa manara na gsm upoje .

Gsm atoe 1b kwa mchezaj mmoja kwa yanga hii ,acheni vituko bwana[emoji23][emoji23] ila kupitia hili la Djuma nimeamin kweli kuwa Kuna watoto wa mjini haswa smart upstairs
 
Mzukulu anaumiaaa [emoji3][emoji3]
 
Hapa Watani zangu Yanga wamefanya usajili wa maana
Haijalishi Djuma yuko Yanga kwa mkopo au free agent.

Nijuavyo Simba na Yanga hatuna jeuri ya kuvunja mikataba.

Ndio maana hata Dube tushamkosa
Ukweli mchungu ila ndo ivo

Ngoja tuendelee kuona
Free agent zikichukua nafasi
 
Bora wafanye usajili mzuri wasiwe wanakimbia uwanjani kwa kisingizio Cha kanuni.

Natumai tarehe 3, watakuwepo kupokea tano zao
 
Hapa unajidanganya mwenyewe au unapunguza hasira tu,djuma hana historia ya injury na ndio maana hata ile injury aliyoipata juzi juzi haijamchukua muda kurudi uwanjani,wiki 3 akarudi uwanjani,kapombe injury kama ile angekaa miezi hata 6,nakujulisha tu pesa aliyonunuliwa ni 46% ya mkataba wenu wa jezi na invisible kassim dewji(vunja bei),hiyo pesa gharib anarudisha kwenye mauzo ya jezi ndani ya wiki 1 tu,simba mlimtaka sana huyu mchezaji but kwa congo kariba ya mchezaji kama yule huwezi kumpata mln 150 au mln 200,kituo kinachofuata egypty then south africa
 
Ni kweli aise Yanga wajinga sana. anamsajili mtu kama SHaban DJuma ambaye ni mzee kuliko Wawa/Onyango/Kagere. Yaani Yanga washamba sana.

Shomari Kapombe - anuary 28, 1992 (age 29 years)

Djuma Shabani - March 16, 1993 (age 28 years)
Hao ndio mikia,wanakuambia manyama bado mdogo,manyama kacheza Yanga akiwa under 19 miaka 7 iliyopita huko,mikia leo hii wanakuambia bado kinda yule!
 
Kipindi cha usajili ni kipindi ambacho mashabiki mazwazwa wa utopolo ndio wanakuwa na furaha kuliko hata mechi ligi kuu zikichezwa
 
Anajielewa yule. Kaona Benchi linamuwekea sugu za matako akaamua asepe zake.

Sio kama wale wenzake wa upande wa pili Ajibu/Gadiel ambao wamecheza mechi 5 tu ndani ya miaka 2.
Kakimbia njaa kama hujui.
 
Mkuu hebu fikirisha Akili basi ata kidogo na uweke mambo ya usimba na uyanga pembeni tuongee uhalisia, kiuhalisia hakuna mchezaji atahusishwa na Simba bila kutajwa yanga na hakuna mchezaji atahusishwa na Yanga bila kutajwa Simba iwe ndani Hadi nje

Tuje kwenye uhalisia wenyewe, juma ni mchezaji mzuri Sana lakini pia Simba ina mchezaji mzuri pia nafasi yake, kwahiyo kumnunua ni kwenda kutengeneza mazingira ya kumweka bench mchezaji mmoja mzuri Kati ya Kapombe au juma mwenyewe

kwahiyo Simba ilikuwa inahusishwa Tu kama kawaida ya tetesi za bongo na ata wakala wake amesema Simba haikutuma offer yoyote Kwa juma Ila Azam walituma wakaikataa, All in all hongereni mmepata mchezaji mzuri sio kama vile vitoto vyenu vikina shomari mlivokuwa mnavisifia ilhali kiukweli hamna kitu
 
Pesa nyingi sana hiyo kwa mchezaji mmoja tu kwa timu zetu hizi, ingeweza kutumika hata kuboresha miundombinu ya klabu...

Hivi ni kweli ukisaka kwenye ligi nyingine/mtaani/vijijini hakuna mtu mwenye uwezo kama au zaidi ya huyo Djuma?
 
Sawa nimekuelewa.

Asante kwa kunijulisha kuwa wewe ndio "FALA".
 
Sportman right there!
 
.

Hivi ni kweli ukisaka kwenye ligi nyingine/mtaani/vijijini hakuna mtu mwenye uwezo kama au zaidi ya huyo Djuma?
Nadhani mpaka wameona kuwa asajiliwe kwa pesa mingi kiasi kile basi ni lazima wamesha utilize options zote zilizopo.

Huwezi kuamka asubuhi mkasema sasa ngoja tuenda mitaani na vijijini tukatafute msaidizi wa Kibwana kwa ajili ya msimu ujao na mkampata.

Bila shaka itakuwa kichekesho pia.

Kuna aina ya mchezaji huwezi mpata hata huko Kijijini au mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…