Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Takwimu zake nzuri sana. Labda kama kuna jambo jingine sisi hatulijui ila kama ni kwasababu ya matokeo wamemtoa mbuzi wa kafara tu.
 
Hongereni sana wanyamwezi wa Tabora, mmesababisha jirani kapaniki, Sasa anakurupuka na maamuzi ya hovyo😃
 
Kwa takwimu hizo hakustahili kufutwa kazi, mengine tuwaachie wenyewe.
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Acha watifuane...
Kumeanza kuchangamka sasa, ndani watu hawaelewani
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Hersi kamweka msomali mwenzake wala hakuna cha kushangaa
 
Wahenga walisema mgema akisifiwa tembo hutia maji, ndo hii Sasa.

Kuna sababu gani yakuipa team pressure na stress kipindi hiki?

Yaani we Mr. Hersi kama una mkono wako hapa basi saivi mi nishakutoa maana.

How comes?? Mechi 2 unakuja kumfukuza coacha?? Wakati unajua kabisa mbele Kuna jambo zito

How you ensure people that those were his faults and not leaders&players faults.

Aisee hapo ndo nimeona uongozi wa yanga nao mabwabwa kweli!?

Try to check out his records, is it true for this your decision??

Kwahiyo mnamtafuta koacha Ambae ataifundisha team na kuhakikisha hatakuja kufungwa??

Sawa endeleeni, ila mi sitashanga Kwa msimu huu kuona tukipoteza Kila kitu.

Simba this is your chance to make u strong and to be winner, never lose this chance.

lakini pia team zingine kuweni kama dodoma muwatie aibu Hawa mabwambwa
 
Uthenge..
#kuanzia Leo Mimi sio yanga
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Haya matusi ni kama huyo jamaa ni mwanao
 
Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)

Kundi la wapumbavu ni kubwa

Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?

Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga

Pumbavu
Mbona mapovu mkuu je umekula mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…