Doji MD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 1,770
- 3,552
labda mchungulianeNa ukiwa ndani unaonaje ya nje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda mchungulianeNa ukiwa ndani unaonaje ya nje??
Hapa umejibu kama nani? Kiongozi wa Yanga? Unahusika na mapato ya Yanga?Who fuckin care??? Hata usienda uwanjani?? Kunywa maji mingi dada
Hallelujah!!!
Acha watifuane...Nilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)
Kundi la wapumbavu ni kubwa
Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?
Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga
Pumbavu
nilisikia kuwa walisema hakuna timu ya kuwafunga hapa duniani, labda malaika! hii habari Ina ukweli?Aisee Yanga wameingia mtego mbaya sana na Ndio anguko la Yanga sasa.
Umeongea kitajiri kweli mkuu. Hizi fake id isije kuwa ndiye GSM mwenyewe.Kufungwa mechi chache isiwe kikwazo cha kocha kufukuzwa
Hersi kamweka msomali mwenzake wala hakuna cha kushangaaNilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)
Kundi la wapumbavu ni kubwa
Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?
Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga
Pumbavu
Wahenga walisema mgema akisifiwa tembo hutia maji, ndo hii Sasa.TAARIFA KWA UMMA
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutarifu umma kuwa umevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Angel Miguel Gamondi.
Vilevile, Uongozi wa Young Africans Sports Club, umesitisha mkataba wa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza, Moussa Ndaw.
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuwashukuru Makocha hao kwa mchango wao ndani ya Klabu yetu na unawatakia kila la kheri katika majukumu yao mapya.
Tayari mchakato wa haraka wa kutafuta Makocha wapya wa kikosi chetu cha kwanza umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.
Daima Mbele Nyuma Mwiko.
Imetolewa na
Ofisi ya Mtendaji Mkuu (CEO)
Young Africans Sports Club
15.11.2024
View attachment 3152851
REKODI YA MAFANIKIO YA GAMONDI AKIWA YANGA
Kocha Gamondi alianza kukinoa kikosi cha Yanga katika msimu wa mwaka 2023/24 ambapo katika msimu huo aliweza kutetea ubingwa kwa msimu huo wa 2023/24
Aidha, ameweza kuchukua Ubingwa wa CRDB Federation Cup kwa msimu wa 2023/24 ambapo alimfunga Azam FC kwa mikwaju ya penati pale New Amani Complex Zanzibar
Ameifikisha Yanga katika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika mara mbili mfululizo. Mara ya kwanza msimu wa 2023/24 ambapo kwa miaka 25 Yanga ilikuwa haijawai kufika hatua hiyo na Gamondi aliifikisha baada ya kuiondoa Al Merreikh. Mwaka 2024/25 pia Gamondi ameiongoza Yanga kuingia hatua ya Makundi
Itakumbukwa kuwa kwa msimu wa 2023/24 Gamondi aliifikisha Yanga katika hatua ya Robo Fainali katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika ambapo aliondolewa kwa mikwaju ya penati na Mamelodi Sundowns
Aidha, kwa mwaka 2024 ameweza kuchukua Ubingwa wa Ngao ya Jamii kwa kuifunga Azam FC goli 4-1 ikiwa ni baada ya kuifunga Simba SC goli 1-0 katika hatua ya nusu fainali. Itakumbukwa pia msimu wa 2023 alifungwa kwenye fainali ya Ngao ya Jamii
REKODI ZA MICHEZO
Kwa ujumla Gamondi ameiongoza Yanga katika michezo 66 ambapo ameshinda michezo 53, amepoteza michezo 7 na kutoka Sare michezo 6.
- Ligi Kuu NBC: Ameiongoza Yanga katika michezo 40; ameshinda 34, amepoteza 4 na kutoka sare 2
- CRDB Federation Cup: Ameiongoza Yanga katika michezo 6; ameshinda michezo yote 6 bila sare wala kupoteza
- Michezo ya CAF (Jumuisha hatua ya awali): Ameiongoza Yanga katika michezo 16; ameshinda michezo 10, amepoteza 2 na kutoka sare 4
- Ngao ya Jamii: Ameiongoza Yanga katika michezo 4; ameshinda michezo 3, amepoteza 1 na hana sare
Uthenge..TAARIFA KWA UMMA

Haya matusi ni kama huyo jamaa ni mwanaoNilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)
Kundi la wapumbavu ni kubwa
Mechi mbili unafukuza kocha? Unataka usifungwe mechi yoyote wewe ni nani?
Kocha ana takwimu nzuri unamfukuza kwa ushabiki wa kijinga
Pumbavu
Mbona mapovu mkuu je umekula mchanaNilikua namuona injinia kama mtu smart kumbe nae ni wale wale tu (wapumbavu)