Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Wewe mpumbavu , kwamba hujui Houthis ndio serikali yenyewe ya Yemen au ?
Hujui baba mwenye nyumba pale Yemen ni Houthis kama Hezbollah alivyo pale Lebanon ?

Sasa wanafanya nini hao Hezbolla na wengine hao maana wenzao sanazidi kuteketea na kupukutika kila saa inayokwenda!
 
Tuwape mda Yemen 🤣🤣🤣ngoja Netanyahu aingie jf aone, atafanya kitu kimoja swafi sana atatoa taarifa raia wote wa Yemen waondoke nchini mwao anataka aisawazishe yemen iwe tambarare
 
Kwa nini hao Waarabu wasimchakaze huyo Mmarekani hadi anakuja kupaki mitambo ya kivita puani kwao? Wanashindwa kuungana waarabu wote ili wamchape bsdala yake wanamwachia maji ya bahari hadi pa kupaki mitambo! Au wanapigana kwa kutumia marungu hawa!
Kwenye hizo nchi za kiarabu zote USA [emoji631] ameweka kambi zake za kijeshi . Angalia hii alipost elon musk wiki hii kuikejeli marekani dhidi ya Iran.
 
Wewe mpumbavu , kwamba hujui Houthis ndio serikali yenyewe ya Yemen au ?
Hujui baba mwenye nyumba pale Yemen ni Houthis kama Hezbollah alivyo pale Lebanon ?
ni juzi juzi tu waliunda serikali baada ya kumuondoa madarakani rais aliyekuwa anatawala. Na hao hezbollah huko lebanon si kwao, walioingia huko kama wakimbizi wakaanza kushiriki siasa za nchi hiyo dhaifu kisiasa na wakapata nguvu kiasi cha kutawala siasa za lebanon kama ilivyo hamas katika ukanda wa gaza. Sasa lebanon chini ya hezbollah ianzishe hiyo vita na israel ndio itakuwa mwisho wao kutawala siasa za lebanon. Israel haishindwi na haitashindwa kuwanyuka yemen na hezbollah kwa wakati mmoja. Dunia itashuhudia maajabu mengine ya ushindi wa israel katika vita nyingine tena
 
Limeshushwa misile moja leo limeenda na watu zaidi ya 100...

The world is watching..!? We are watching!??
Why!?[emoji17][emoji17]
Tuliwaambia waondoke, waliobaki wote ni magaidi
 
Wenzao walipigwa asubuhi wakaanza vita siku ifuatayo Wengine vita tayari ni Wiki ya tatu bado mnasema wiki ijayo?

Cowards
 
Israel anaenda jisombea ardhi nyingine baada ya miaka 5 utasikia waislam wanasema israel kapora ardhi
 
Waarabu walitakiwa waungane ijulikane moja tu israel ifutwe
Wwaarabu walishaungana na bado kichapo wakapewa tena cha haja mpaka rais wa Misra akafa kwa mshtuko wa moyo.
Ahmednajad wa Iran alisema angeifuta Israel kwenye uso wa dunia mpaka leo yamebaki maneno ya kwenye kanga.
Leo salam zimpelekwa sasa litokee taifa lolote la kiarabu liiguse Israel ndo watajua maana yake nini Mungu Yesu au Yehova anaposema Israel ni mboni ya jicho lake.
 
Waarabu walitakiwa waungane ijulikane moja tu israel ifutwe
Hawawezi na haitatokea. Na ikiwa wakiungana hilo litakua tishio kwa EU na NATO nao wataingia mzigoni. Sasa nchi ngapi za uarabuni zina Nukes?. Halafu ujanja wao wote ni kuwawahi makwao unapiga makambi yao yote at per kama Israel ilivofanya zile siku 6. Halafu mfano pale saudia itapigwa visima vya mafuta vyote baada ya hapo wataomba misada maana hajua shughuli mwaeabu anafanya zaidi ya kuchimba mafuta

Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…