Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Ila kwer kama naiona Third worldwar inaendelea kujaa sasa sisi kataifa kadogo mbn waendelee na mataifa Yao makubwa tu
 
Waislamu wameichukulia kama vita ya kidini
ndio imekuwa mahubiri yao misikitini. Waislam waache kuchanganya mambo ya dini na ya dunia. Wale wananyukana si kwa dini ni kugombea ardhi
 
Wajipange tu waarabu wote ili historia ijirudie yenyewe ndio watajua kwamba allah sio Mungu wa kuwapigania watu ila yeye ndio anataka apiganiwe.
 
Budget Yao 45% wanategemea wahisani hii ni nchi masikini zaidi Tanzania je wataweza kuishi maisha ya vita Kwa miaka 2 kama Ukraine?
 
Aisee! baada ya miaka kumi nchi zote za kiarabu zitakuwa zimekaliwa na wayahudi..

Israel alikuwa akivuta mda wa kuingia gaza ili wajinga wajinga kama Yemen waingie kwenye 18 israel asije akachoma wese bure hapo gaza ngoja awakusanye kwanza
Atawapiga kama ngoma[emoji3]
 
Hiii vita Israel naona anavyoelekea kusanda hapo Irani ajatia kambi mbona watasema tu

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Andaeni maji ya kunawa machozi kwa vilio
 
Huyu Israel hua mnamuona kama Mungu sio, mijitu michafu kazi yao ushoga na mauwaji nyie ndio mnawatukuza kitabu chenu kimewadaganya sana.
Hakuna hoja ya kitabu kinachotumika. Hoja iliyopo ni kwamba Yemeni anajitakia shari i.e. amejiingiza kwenye mgogoro usiomhusu tena bila kuombwa.
Yaani Je, Palestina amemuomba Yemeni msaada? Halafu mbaya zaidi wapo wanaogeuza ukweli wa chimbuko la machafuko hayo na kuyapa mtizamo wa kidini. Hii ni Hatari kubwa mno.
 
kama kuna taifa linataka kuharibu uchumi wake liingie vitani kupigana na israel
 
Budget Yao 45% wanategemea wahisani hii ni nchi masikini zaidi Tanzania je wataweza kuishi maisha ya vita Kwa miaka 2 kama Ukraine?
Marekani alitoa jeshi Somalia na. bajeti yake kubwa kila siku alikuwa anasafirisha majeneza.
 
Israel anaenda kuchezea kichapo na hatoamini
Tusubiri dakika ya mwisho ndo ukweli utafahamika. Ni bora tuitumie vita hii kama fursa i.e. kwenye "Wazee wa kuweka mzigo" i.e. Ku-bet.
 
Alichokifanya marekani kusogeza meli mbili kubwa zaidi za kivita kuisaidia Israel ndicho kilichofanyika kwenye hizo Vita na waarabu ambazo muisrael anajisifia kushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…