Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

Ni kichekesho! Yemen ipi hiyo? Ile inayopelekeshwa puta na wahuthi? Bora hezbollah inajulikana ni adui wa israel na kichapo ilishachezea.

Sasa hii yemen inataka nini kwa israel? Yemen inawashwa na itakipata cha moto toka israel isijaribu kujitia kiherehere kuishambulia israel
 
Ni kichekesho! Yemen ipi hiyo? Ile inayopelekeshwa puta na wahuthi? Bora hezbollah inajulikana ni adui wa israel na kichapo ilishachezea. Sasa hii yemen inataka nini kwa israel? Yemen inawashwa na itakipata cha moto toka israel isijaribu kujitia kiherehere kuishambulia israel
Wewe mpumbavu , kwamba hujui Houthis ndio serikali yenyewe ya Yemen au ?
Hujui baba mwenye nyumba pale Yemen ni Houthis kama Hezbollah alivyo pale Lebanon ?
 
Wanaukumbi.

BREAKING: YEMEN DECLARED THEY ARE NOW AT WAR WITH ISRAEL

The Republic of Yemen is the first country officially to announce its entry into the “Battle of the Flood” of Al-Aqsa and launches a large number of ballistic and winged missiles and drones at a number of Israeli IOF targets inside occupied Palestine.
 

Attachments

  • IMG_5627.jpeg
    IMG_5627.jpeg
    104.3 KB · Views: 3
Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwafanyia hisani na uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa ajili ya dini, wala hawakuwafukuza katika nchi zenu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao uadilifu. Isipokuwa Mwenyezi Mungu anawakataza kuwafanya marafiki wale wanaopigana nanyi katika dini, na wakawafukuza katika nchi zenu na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu, na wawafanyao marafiki, basi hao ndio madhalimu" (60: 8 - 9)
Embu kausha basi na vijimaneno vyako vya kukopi kutoka kwa waarabu wenye chuki na wayahudi
 
Waarabu walitakiwa waungane ijulikane moja tu israel ifutwe
Ngumu hiyo. Waarabu wamegawanyika .marekani amejua kuplay card zake vizuri. Kuwait, UAE , Bahrain, Omani, Saudi Arabia nchi ambazo zipo karibu kabisa na palestina ana mkataba nao na kuna kambi za USA za majeshi yake. Saudi Arabia ana hisa nyingi sana kwenye makampuni ya marekani kama GM motors na General Electric so unaweza kuona hali halisi ilivyo ngumu hapo.
 
Israel hana uwezo, ni support kutoka US, UK, na UFARANSA yy mwenyewe hawezi hizo battle za waarabu ndio maana anasaidiwa kila kitu na US

Kwa nini hao Waarabu wasimchakaze huyo Mmarekani hadi anakuja kupaki mitambo ya kivita puani kwao? Wanashindwa kuungana waarabu wote ili wamchape bsdala yake wanamwachia maji ya bahari hadi pa kupaki mitambo! Au wanapigana kwa kutumia marungu hawa!
 
Back
Top Bottom