Ratiba inaendelea: Waraka wa TEC unasomwa leo kwa mara ya tatu

wewe usijifanye una akili kuliko wa bunge wote Tanzania na wewe sio mtaalamu wa mikataba.
Ficha ujinga wako walau kdg, yaan unataka kufananisha wenye halisi na wale wapiga meza makofi? Wao kila kitu kikiletwa mjengoni wao ni kushambulia zile meza kwa makofi tu!! Hawana impact
 
Hata wakipewa nakala kila kondo, hamna kitakacho badilika hawawezi kumyumbisha Raisi wetu hao waramba misalamba Tanzania ni kubwa kuliko hao idol worshippers.........
Unatetea nini????
[emoji116][emoji116]
وَلَا تَرْكَنُوا إِلَى الَّذِينَ ظَلَمُوا فَتَمَسَّكُمُ النَّارُ وَمَا لَكُم مِّن دُونِ اللَّهِ مِنْ أَوْلِيَاءَ ثُمَّ لَا تُنصَرُونَ

(HUD - 113)
Wala msiwategemee wanao dhulumu, usije ukakuguseni Moto. Wala nyinyi hamna walinzi badala ya Mwenyezi Mungu, wala tena hamtasaidiwa.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Hujatuita idol worshippers??walamba misalaba? Nakushauri usipende toa maoni juu ya mambo ya Iman ndo kiwango cha mwisho cha kumkosea mtu heshima .
 
Hujatuita idol worshippers??walamba misalaba? Nakushauri usipende toa maoni juu ya mambo ya Iman ndo kiwango cha mwisho cha kumkosea mtu heshima .
Mkuu kweli hilo ni tusi au ni sehemu ya ibaada yetu, angalia hiyo picha af unijibu.
 
Nimetoka kanisani sasa hivi, Pafokia ya Mt Dominiko Mbezi Juu. Nathibitisha kuwa WARAKA wa TEC haujasomwa leo
 
Nimetoka kanisani sasa hivi, Pafokia ya Mt Dominiko Mbezi Juu. Nathibitisha kuwa WARAKA wa TEC haujasomwa leo
Inawezekana kuna walichokiona (wamesikiliza maoni ya watu wenye akili walioonya kuwa kuna walichokosea katika waraka ule), au wanajiandaa kuja kivingine.
 
Hii kitu athari yake ni kubwa san hapa mbeleni na ni weny akili na focus ndio wataelewa!! But kwa wachumia tumbo na machawa hawawez elewa!!
 
Hii comments itunzwe mama hatashinda uchaguzi 2025
 
Wapuuz hao,wausome mwaka mzimaa , rubbish
 
Siamini kuwa waraka umesomwa leo, kanisani kwetu hapa St Thomas More Mbezi Beach ulisomwa mara moja tu siku ya kwanza.

Hakuna faida wala sababu ya kuja na waraka wakati TPA wameshaandika barua ya kutaka mwekezaji wa bandari na hata akiwa ni kampuni ya kizalendo hakuna tatizo lolote.

Lile lilikuwa ni jibu tosha kwa waraka, kwamba tujipange na kuja kimkakati ikiwa tunataka kushindana na makampuni yenye ukubwa wa DP World katika masuala ya uendeshaji wa bandari kisasa.

Lile halitakuwa tangazo la mwisho la serikali, kutakuwa na tangazo la bandari ya Mbamba Bay, kutakuwa na tangazo la Bandari ya Ziwa Tanganyika pia.
 
TPA wameshaweka tangazo kwenye mitandao juu ya kutafuta mwekezaji mpya wa kuendesha magati namba nane mpaka kumi na moja. Hayo yote uliyoandika yanakosa mashiko ikiwa anatafutwa mwekezaji hata kama ni kampuni ya kizalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…