GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chadema hapo tu mimi ndio niliwashangaa kwa Tanzania hii hakuna wa kupinga uchaguzi labda CCM wenyewe
You still don't get it, do you?

Una macho lakini huoni, una masikio lakini husikii.
 
Uchaguzi ukiwa Huru na Haki ccm lazima ipotee na kuwa kama KANU ya kenya , hakuna mpenda haki ataichagua ccm, mateso manyanyaso kuwaua kuwateka kuwatesa kuwapora Luzuku, kuwabambikia kesi chadema ndivyo vimepelekea ccm kulaaniwa kote Duniani
 
Ndiyo maana hawatakubali ulio huru na waki bila ya shinikizo la kufa mtu
 
Aliyetaka kumuua Lissu ni Magufuli, kisha akawa mkimbizi huko. Aliyemleta Lissu nyumbani na kumlipa stahiki zake ni Samia.

Pamoja na kumfutia kesi zake za kubambikiza, Lissu ndiye wa kwanza kubeza maridhiano kuropoka majukwaani. Muache apate anachotaka
 
Elimu ya nyie ibirisi wa ccm ni kuteka kuua kuwabambikia kesi za uongo chadema
Hakuna neno ibirisi kwehye Kiswahili wewe ndezi, bali kuna ibilisi

Kama huwezi kutokautisha r na l wewe huwezi kuwa na akili za mijadala
 
Utunge basi na taarabu maana naona wee bingwa wa mipasho. Kama nakuona unavyo pita mtaani umevaa na kushikilia kijola ukiimba ratiba ya uchaguzi
Nafuu kuimba taarab kuliko kuropoka
 
Uchaguzi ukiwa Huru na Haki ccm lazima ipotee na kuwa kama KANU ya kenya , hakuna mpenda haki ataichagua ccm, mateso manyanyaso kuwaua kuwateka kuwatesa kuwapora Luzuku, kuwabambikia kesi chadema ndivyo vimepelekea ccm kulaaniwa kote Duniani
Na hatufanyi makosa ya KANU. Baada ya KANU kutoka ni nini cha maana Kenya wamepata zaidi ya mauaji
 
Hakuna namna wanaweza kurudi kwa vile walikataa kusaini kanuni za maadili ambazo ni takwa la lazima kwa vyama vinavyoshiriki

inawezekana kwa sababu muda wa kuchua form bado.au ndo itakua kama ile issue ya covid 19.yawezekana watia nia kupitia chadema tiari wapo
 
Kelele tu za Samia ana najisi ila huwezi kusema ana najisi kivipi?? Nyie mtaishia kulia lia mitandaoni wakati fursa zinawapita. Wenye akili wanatengeneza fedha, wajinga mmekalia majungu
Ukiwa mzoga hata uambiwe mara ngapi huwezi kutambua kinachosemwa. Kwa nini kupoteza muda.
 
Ingekuwa mada takataka, unge IGNORE. Kitendo cha kushiriki na kuandika posts zaidi ya 5 kunijibu inaonekana mada yangu imebamba. Hii pekee ni post #137.

Labda wewe ndiyo takataka
Nimekwisha sema, na narudia. Siwezi kuacha uchafu utamalaki. Nitafanya kila juhudi kuusafisha ili usibughudhi watu.
Sasa nimeiona kuna mzoga hapa unaoza na unawasumbua watu. Ni jukumu langu kuweka mazingira safi ili watu wasiate adha.
Umenielewa, mzoga! Mada yako ni takataka./uchafu.
 
Sasa mbona mnalazimisha watu wagombee uchaguzi!

NRNE maana yake ni kwamba bila reforms CCM mtapita bila kupingwa, maana yake hakuna uchaguzi.

Sasa ni uchaguzi gani wakati CCM mnagombea peke yenu?

Acheni maigizo, okoeni gharama.

Hao wabunge na madiwani wa CCM wataksopitishwa kugombea watangazwe washindi, waende bungeni wakagonge meza walipwe posho wale bata.

Kwani kitu gani! Kuleni maisha CCM, ni wakati wenu kula keki ya taifa.
 
Watapiga kura MaCCM, wake zao na watoto wao. Sisi ni No Reforms No Election.
 
Hivi utawekaje simba na simba kucheza halafu useme yanga ameshinda? Hii kitu ni mbaya inayotengenezwa kuja kuirudisha kwenye reli itachukua muda hakuna kitu kibaya kama kufanya Kazi kwa kupigiwa kelele...
 
Wewe nadhani ndiyo unashindwa kuchambua hali ya kisiasa nchini.
 
Hivi utawekaje simba na simba kucheza halafu useme yanga ameshinda? Hii kitu ni mbaya inayotengenezwa kuja kuirudisha kwenye reli itachukua muda hakuna kitu kibaya kama kufanya Kazi kwa kupigiwa kelele...
Mechi ya ccm na ccm-Chawa vyama vya kujikomba ccm, ni ushindani kati ya ccm ibilisi vs ccm wanafiki yaana akina ACT CUF Chauma ubwabwa na wenzao, Kwa kifupi hakuna Uchaguzi Tanzania kilichopo sasa ni maigizo haramu ya kishetani
 
Kumbe nilitajwa hapa.. Kweli NRNE iliwabamba wengi✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿πŸ’ͺπŸΏπŸ”¨

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…