Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

Sijui sisi wa huku SIKONGE tutapona vipi? Nchi imebaki ya WASANII na kiongozi wao.

 
Last edited by a moderator:
Si ameamua tu as a person?
Sioni tatizo la Yesu kumfufua Lazarus wakati kuna watoto wengine siku hiyohiyo walipoteza babva au mama zao.
Sometimes people are just ...... people!!!
 

hahahahha! kweli nadiriki kusema raisi wetu hakujihoji vzr kabla ya kuruhusu hii habari kurushwa, nachelea kusema imempa low marks sana
 
hahahahha! kweli nadiriki kusema raisi wetu hakujihoji vzr kabla ya kuruhusu hii habari kurushwa, nachelea kusema imempa low marks sana

yani ni ile 0 yenye masikio kwa kweli!sijui kama ikulu inalitambua hili
 
Kiranga kabla hatujafikiria concepts of fairness and favoritism hebu kwanza nieleweshe Ray C alikuwa anaumwa nini?? seriously sijui.

Kwa hali ya bongo Ray C hatuwezi kusema aliumwa.

Ni mteja aliyehitaji rehab according to reliable sources.

Labda ndo Prezzo ana roll na kina Lindsay Lohan wa Bongo.

Just imagine Obama paying Lindsay Lohan's rehab bill with taxpayers money.

While countless of Americans have no hope of help for genuine diseases and all kinds of organic diseases!

This is what it's all about.
 
Simle la Rais ni babu kubwa.
 

sio tetes alisema hayo 2006
 
don't tell! Ray c aaalikuwa teja?? so raisi wetu akamsaidia pesa za matibabu sio, ni jambo jema sana tena lapaswa kuigwa. but naomba mnijuze jambo hapa hivi anayejeruhika katikati ya starehe na anayejeruhika katikati ya kazi who needs sympathy??

Jambo jema kwa nini?

Kwa nini Kabhula Masota wa Malampaka anayehitaji kufanyiwa upasuaji wa moyo India hajapatiwa msaada na rais na kapatiwa
Ray C ?

Ray C kafuata mchakato gani mpaka kuweka kupata attention ya rais? Maana na sisi tuna ndugu zetu mamilioni wangependa msaada huu tunataka tujue wasaidiwe.

It's not like rais katumia hela zake binafsi, au za kodi ya familia ya Chalamila (that's what the "C" in Ray "C" stands for y'all)

Kodi ni yetu sote, kwa nini Rehema apate upendeleo? Tena kwa "ugonjwa" wa kujitakia mwenyewe kuvuta mdude?
 
The fact that she is rehabbing, that's a good thing.

But from a PR standpoint it's bad for the president.

He could have just helped her quietly and privately. There was no need for a photo-op.

But the way he went about it makes some people question his motive. Did he do it just to score popularity points or did he do it because he was deeply touched by what the young lady was going through?

If he did it out of the kindness of his heart, then why was the press there?
 
i dare to speak out that our president didn't think critically on this otherwise he would have suggest it to be btn them and not to have media coverage.
 
ukishangaa ya laithi utaona lei thii

Hebu nipatie vitheluji mie. I am sure vithelugi haviitaji kuombewa kwa Rais.

Swali la kizushi: Alimsaidia kama Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete au kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, or both?
 
Hebu nipatie vitheluji mie. I am sure vithelugi haviitaji kuombewa kwa Rais.

Swali la kizushi: Alimsaidia kama Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete au kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, or both?

Kama angemsaidia kama Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete tungeona picha za Ursino Estate, sio Ikulu ya Magogoni.
 
Rais alijuaje kuwa Ray C anaumwa? Na pia, rais alijuaje kuwa Ray C anahitaji msaada given that huyu 'Amy Winehouse' ana base kubwa kama star?

Lakini kubwa, ningetaka kujua ni vigezo gani vilivyotumika kumtibu huyu Ray C? Kuna star mmoja alikuwa anachangiwa ili akapate matitabu India. Na hali yake ilikuwa very critical na baada ya muda hela zilipatikana na akapelekwa India. Sikumbuki kusikia mchango wa rais au misaada ni kwa wala unga peke yake?

Lakini pia ITV kuna watu (masikini wa kutupwa) kila leo wanaomba msaada wa matibabu. Hawa watanzania wanaojitokeza ITV hawana mbele wala nyuma, na hata kufika kwenye studio za ITV ni mtihani.Watu wa aina hii watajisikiaje kuona rais anasaidia 'star - mtu ambaye ana option nyingi za kupata matibabu? Is it really fair?
 
Kikwete is a serial killer! Anajua wauza madawa ya kulevya na hafanyi kitu! Leo anauza nyago na teja Rehema Chalamila
 

akili yake ka fuu la nazi.rais hatuna
 
Kama angemsaidia kama Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete tungeona picha za Ursino Estate, sio Ikulu ya Magogoni.

Hata kama tungeona picha za Ursino Estate, si bado angeweza kumfadhili huko kama Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania?

Kwani suala ni sehemu au capacity aliyoitumia kumpa huo msaada?
 
Hebu nipatie vitheluji mie. I am sure vithelugi haviitaji kuombewa kwa Rais.

Swali la kizushi: Alimsaidia kama Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete au kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, or both?

Watu wa kwanza kutoa taarifa hii ni Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu. Ilitolewa katika official capacity na sio mtu binafsi. Kuna watu watajisikia wanyonge sana kuona misaada inaenda kwa wale wenye nyenzo nyingi za kujikwamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…