Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ameamua tu as a person?Tanzania concept ya fairness haipo, at least kwa rais wetu.
Marekani ukiwa na watoto wako wawili, mmoja ana miaka minne na mwingine sita, ukimfanyia kitu mmoja bila kumfanyia mwingine lazima mmoja atalia "That's not fair".
But I guess Tanzania is Tanzania and the U.S.A is the U.S.A.
The question is, is this ethos of fairness something we should emulate?
Should President Kikwete be concerned about issues of favoritism before parading himself with the Ray Cs of Tanzania (who apparently had other avenues and a whole fan base to garner the requisite funds, as opposed to countless other Tanzanians who shall remain unknown and uncared for).
Why is Ray C so special?
Kuna Watanzania wangapi wanaohitaji msaada kama huu ambao hawana uwezo kabisa? Kigezo gani kimetumika kumchagua Ray C?
alikuwa teja bana!
zikatolewa picha humuu kuwa anahotaji msaada nakumbuka shosti yetu mutoto ya fisadi alisema watanzania tumchangi sijui!weell kwake yeye na wengine ilieleweka!
si ndo chighafula hapa(wapi dada mkubwa FP )tunakutana namipicha na taarifa za habari oh rais kamtibu ray c na rayc,mama yale na dada yake wameenda ikulu kumpongeza basi ITV walitoa habari,TBC ,CHANNEL 10 mradi tu mambo mzomzo!
nilijiuliza maswali mengi sana mwenzio!na mpaka sas sijapata jibu ndo mana nakwambia tukajilipue tu!
hahahahha! kweli nadiriki kusema raisi wetu hakujihoji vzr kabla ya kuruhusu hii habari kurushwa, nachelea kusema imempa low marks sana
Kiranga kabla hatujafikiria concepts of fairness and favoritism hebu kwanza nieleweshe Ray C alikuwa anaumwa nini?? seriously sijui.
Kiranga kabla hatujafikiria concepts of fairness and favoritism hebu kwanza nieleweshe Ray C alikuwa anaumwa nini?? seriously sijui.
Hatimaye baada ya Ray C kuteseka kwa muda mrefu bila kupata mtu wa kumfadhali hela ya matibabu hatimaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ajitosa kumfadhali. Akiongea katika viwanja vya Ikulu Ray C amemshukuru Rais Kikwete kwa moyo aliouonyesha wa kumsaidia matibabu na sasa hivi anaendelea vizuri.
SWALI:
1.Rais Kikwete ametambua sasa madhara ya madawa ya kulevya, Je, atawachukulia hatua sasa wote wanauzia madawa ya kulevya maana kuna tetesi kuwa anayo majina ya DRUG DEALERS?
2. Je, ni Ray C tu mwenye aliyekumbwa na tatizo la kuwa TEJA? Watanzania wengine tena nguvu kazi kubwa ambayo imeshadhirika na madawa ya kulevya ana mpango upi wa kuwasaidia? Ama wao hawastahili msaada?
AIDHA; Nampongeza Rais Kikwete kwa moyo wake wa kumuokoa Mtanzania huyu " RAY C" maana angepotea na talent yake ya uimbaji.
don't tell! Ray c aaalikuwa teja?? so raisi wetu akamsaidia pesa za matibabu sio, ni jambo jema sana tena lapaswa kuigwa. but naomba mnijuze jambo hapa hivi anayejeruhika katikati ya starehe na anayejeruhika katikati ya kazi who needs sympathy??
i dare to speak out that our president didn't think critically on this otherwise he would have suggest it to be btn them and not to have media coverage.Kwa hali ya bongo Ray C hatuwezi kusema aliumwa.
Ni mteja aliyehitaji rehab according to reliable sources.
Labda ndo Prezzo ana roll na kina Lindsay Lohan wa Bongo.
Just imagine Obama paying Lindsay Lohan's rehab bill with taxpayers money.
While countless of Americans have no hope of help for genuine diseases and all kinds of organic diseases!
This is what it's all about.
ukishangaa ya laithi utaona lei thii
Hebu nipatie vitheluji mie. I am sure vithelugi haviitaji kuombewa kwa Rais.
Swali la kizushi: Alimsaidia kama Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete au kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, or both?
Mkuu kama kusoma huwezi hata picha huwezi kuona?Source plz...
kuna mtoto yupo pale Kariakoo mbele ya kituo cha Polisi cha Msimbazi.
Ana tatizo la kuvimba kichwa, yaani ukimuona tu utaingia na roho ya huruma papo hapo, na ni wazi kuwa wazazi wake hawana uwezo wa kumpeleka nje kwenda kufanyiwa uchunguzi na hata kupata matibabu.
Dah leo hii Mkuu unakwenda kulitibia jitu zima na akili zake kwa tatizo la kununua.
Mkuu nakuchukia sana, lakini kwa hili chuki yangu imezidi maradufu.
Wasalaam...
Gang Chomba..,
Kama angemsaidia kama Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete tungeona picha za Ursino Estate, sio Ikulu ya Magogoni.
Hebu nipatie vitheluji mie. I am sure vithelugi haviitaji kuombewa kwa Rais.
Swali la kizushi: Alimsaidia kama Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete au kama Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, or both?