Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Wakati sintofahamu ya uanafunzi wa mtoto mzur Paula bado ikiwa imepamba Moto , nyota wa Bongo Fleva anayeikamatilia YouTube. Kwa sasa Rayvanny mnyakyusa kupitia ukurasa wake wa Instagram amempost mpenzi wake huyo wakila bata maeneo ya watu wazito ....

Saved.jpg

BeautyPlus_20210520234915949_save.jpg

jumalokole2_1621544271431619.jpg
 
Umaarufu ni mzigo sana. Hawa vijana wanaoanza kufanikiwa wanatakiwa kufanyiwa counselling jinsi ya ku-deal na umaarufu. Mwisho wa siku maisha ni uwekezaji sio show off. Wapi waliokuwa maarufu enzi hizo kina Mr. Nice, TID, 20%, Rose Mhando na wengine.

Mtu ametokea familia duni ume-struggle umetoka unaenda kuparamia mademu maarufu wakati kwenu ulipotoka wanatumia choo cha shimo.
Wasanii jifunzeni kuhusu maisha, mahusiano jitahidi uyafiche sana na sio kufanya show off.
 
Mkuu kwani vannyboy kwao wanatumia Choo cha kulenga chief ?? Msanii ili utoboe lazima uongelewe yupo sahihi kabisa
 
Umaarufu ni mzigo sana. Hawa vijana wanaoanza kufanikiwa wanatakiwa kufanyiwa counselling jinsi ya ku-deal na umaarufu. Mwisho wa siku maisha ni uwekezaji sio show off. Wapi waliokuwa maarufu enzi hizo kina Mr. Nice, TID, 20%, Rose Mhando na wengine.

Mtu ametokea familia duni ume-struggle umetoka unaenda kuparamia mademu maarufu wakati kwenu ulipotoka wanatumia choo cha shimo.
Wasanii jifunzeni kuhusu maisha, mahusiano jitahidi uyafiche sana na sio kufanya show off.
Wasanii jifunzeni kuhusu maisha, mahusiano jitahidi uyafiche sana na sio kufanya show off.[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548] UJANA MAJI YA MOTO
 
Back
Top Bottom