Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

Wakati sintofahamu ya uanafunzi wa mtoto mzur Paula bado ikiwa imepamba Moto , nyota wa Bongo Fleva anayeikamatilia YouTube. Kwa sasa Rayvanny mnyakyusa kupitia ukurasa wake wa Instagram amempost mpenzi wake huyo wakila bata maeneo ya watu wazito ....

View attachment 1792448



View attachment 1792236

View attachment 1792240
katoto katoto rito.. 😋😋.. utotoni wakati tupo shule ya primaly nimekala sanaaa hakaaa 😂😂😂😂..

Holy Man zee za Fiksiii 😎
 
Maumivu ya majani naya feel
Watu wanambandua binti yako na kurekodi kabisa..na kurusha online..
Hahahah hata Mimi namuonea huruma majani daah[emoji1]

Ila na yeye si alikuwa mtemk bongo records enzi zile akina ferooz Hadi wanampigia magoti awatoe [emoji1]

Ukijidai muhuni Kuna wahuni zaidi yako

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kwani huwa yana formula bas, ni suala la muda tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom