Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

Umaarufu ni mzigo sana. Hawa vijana wanaoanza kufanikiwa wanatakiwa kufanyiwa counselling jinsi ya ku-deal na umaarufu. Mwisho wa siku maisha ni uwekezaji sio show off. Wapi waliokuwa maarufu enzi hizo kina Mr. Nice, TID, 20%, Rose Mhando na wengine.

Mtu ametokea familia duni ume-struggle umetoka unaenda kuparamia mademu maarufu wakati kwenu ulipotoka wanatumia choo cha shimo.
Wasanii jifunzeni kuhusu maisha, mahusiano jitahidi uyafiche sana na sio kufanya show off.
Unatumia kinywaji gani mkuu?
 
Back
Top Bottom