Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

Tatizo la hawa watu maarufu wanakutumia wakikuchoka wanakutupilia mbali, wenye hekima wamuokoe Paula tafadhali...
 
Umaarufu ni mzigo sana. Hawa vijana wanaoanza kufanikiwa wanatakiwa kufanyiwa counselling jinsi ya ku-deal na umaarufu. Mwisho wa siku maisha ni uwekezaji sio show off. Wapi waliokuwa maarufu enzi hizo kina Mr. Nice, TID, 20%, Rose Mhando na wengine.

Mtu ametokea familia duni ume-struggle umetoka unaenda kuparamia mademu maarufu wakati kwenu ulipotoka wanatumia choo cha shimo.
Wasanii jifunzeni kuhusu maisha, mahusiano jitahidi uyafiche sana na sio kufanya show off.
Mzee angalia jinsi ya kuongezea mbolea kwenye tumbaku huko tabora. Haya ya town yaache yakupite
 
Safi sana ndio muda wao huu kudemka ,majukumu yakishaongezeka na mihemko kushuka watatulia na kufanya mambo ya maana ya kukuza familia.
 
KWAsababu na yeye alibandua mabinti wa watu kwa kisingizio cha kuwarekodia...mfano ni mwa miongoni mwa mabinti waliokuwa wanakimbia shule kwa kurubuniwa na majani ni huyo kajala mwenyewe
Hahah!

Kajala Masanja alirubuniwa na Majani?

Hebu fuatilia harakati za huyo binti tangu kakiwa kaduchu primary huko upate mitkasi zake
 
Back
Top Bottom