msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Nilisikia mama yake alizikataa pesa za ushetani akasema bora aendelee kuuza mboga za majani kuliko kupokea pesa zinazotokana na kazi ya mwanaeHuyo mpaka leo mama ake anauza mboga za mafungu sokoni.