Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

Rayvanny ampost mpenzi wake Paula wa Kajala wakila bata

Wasanii jifunzeni kuhusu maisha, mahusiano jitahidi uyafiche sana na sio kufanya show off.[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548] UJANA MAJI YA MOTO
Umeona mzee mwenzangu. Watu uwa hawajifunzi kuhusu waliotangulia kwenye hizi tasnia zenye umaarufu. Kuna wengi sana waliochezea ujana na mwisho wakaangukia shimoni
 
Huyo mpaka leo mama ake anauza mboga za mafungu sokoni.
Kuuza mafungu ni jadi chief , wazee wetu wa kijijini hata uwasaidie vipi hawawezi kuacha kazi zao za mda wote , hawana proffesional yyte , mi Bibi yangu na msaidia Sana Ila huwez mkataza kwenda shamba anapenda kuliko maelezo ....anyway kama mama yake anauza mafungu Kwa kukosa riziki basi vannyboy anzingua .....
 
Back
Top Bottom