🤣🤣🤣🤣🤣Masikini Fahyma 😢
Ila si inye gwedegwede,🤣🤣🤣Kumbe kana inye haka katoto
Ila kainye kake kana njoonjoo.Ila si inye gwedegwede,🤣🤣🤣
Ndio kanajitengeneza,😅
Aende Kwa baraka the pinceMasikini Fahyma [emoji22]
Mkuu kwani vannyboy kwao wanatumia Choo cha kulenga chief ?? Msanii ili utoboe lazima uongelewe yupo sahihi kabisaUmaarufu ni mzigo sana. Hawa vijana wanaoanza kufanikiwa wanatakiwa kufanyiwa counselling jinsi ya ku-deal na umaarufu. Mwisho wa siku maisha ni uwekezaji sio show off. Wapi waliokuwa maarufu enzi hizo kina Mr. Nice, TID, 20%, Rose Mhando na wengine.
Mtu ametokea familia duni ume-struggle umetoka unaenda kuparamia mademu maarufu wakati kwenu ulipotoka wanatumia choo cha shimo.
Wasanii jifunzeni kuhusu maisha, mahusiano jitahidi uyafiche sana na sio kufanya show off.
No rinder though!Kumbe kana inye haka katoto
We mzee wewe!! [emoji23][emoji1787]No rinder though!
Wasanii jifunzeni kuhusu maisha, mahusiano jitahidi uyafiche sana na sio kufanya show off.[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548] UJANA MAJI YA MOTOUmaarufu ni mzigo sana. Hawa vijana wanaoanza kufanikiwa wanatakiwa kufanyiwa counselling jinsi ya ku-deal na umaarufu. Mwisho wa siku maisha ni uwekezaji sio show off. Wapi waliokuwa maarufu enzi hizo kina Mr. Nice, TID, 20%, Rose Mhando na wengine.
Mtu ametokea familia duni ume-struggle umetoka unaenda kuparamia mademu maarufu wakati kwenu ulipotoka wanatumia choo cha shimo.
Wasanii jifunzeni kuhusu maisha, mahusiano jitahidi uyafiche sana na sio kufanya show off.