Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Mods huu uzi uamishiwe kwenye kula tunda kimasihara
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaaah wallah. Nimeshindwa hata kukujibu hapa.
 
Pole sana ndugu mi binafsi nilioa mwanafunzi sababu kama yako, yule baba wa huyo mke wangu wa sasa alikuwa ni mtata mno na ukizingatia kiuchumi ni kama walituzidi kiasi fulani ila wazazi wangu na wake walikaa wakayamaliza,

Na sio ya kwamba nilikuwa nimempa mimba binti ndio alinogewa na utamu wa pipi akakataa kuendelea na masomo namshukuru Mungu mpaka sasa tunaishi vyema na nina watoto watatu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…