Kwa elimu yetu ya Tz mara nyingi kama mtoto hajakwama au kufeli hapa kati ,miaka 18 anatimiza akiwa form 5.Huyo binti karisiti mwaka jana na kwa mujibu wa mama yake mwaka huu mwezi wa 7 anaingia form 5,kimahesabu huyu binti mwaka huu anatimiza miaka 19 akiwa form 5.
Sijui sheria zina semaje natamani nipate mwanasheria atupe vifungi still bado sijarizika na jibu lako.
AiseeeP.Fank alikuwa anahojia na mtangazaji akajibu kwamba huyo mtoto kashindika na lawama apewe Mama yake nadhani kuna tabia alikuwana ana muonya inaonesha Kajala alikuwa ana mkingia kifua binti yake baada ya mahojiano Yale huyu binti aliandika akimpenda Mama yake yatosha.
Vipi kama alishaandikishwa aende Form Five?????Hamna kesi hapo, Paula umri ni 19+ , yupo out of school kamaliza form four , option ya kwenda form five au chuo ni yake,na anaweza kuzingua vilevile kwamba staki school
Huyu mtoto Kama hajavuka 18View attachment 1703068
Kula kifungu cha katiba achana na mwanasheria ...huyo bint anaenda 20 huko ...acha watu wamtekenye bhana na yupo out of school,
Anatoa kitumbua hadi baraza la mitiani hii hatari sasaNatamani hata Van asipewe adhabu labla kama amemkuta bikra binti kutwa yuko Instagram ana lamba midomo na huko shule lazima atatoa kitumbua ili apewe ufaulu kichwani hamna kitu.
Kwa hili kajala apewe lawama na si mwanaume aliyekuwa nae kwenye hiyo video mtoto kapewa Uhuru kautumia .Alizingua sana
Huyu mtoto Kama hajavuka 18
Huyo kijana kwisha habari yake
Aende jela akasuke uko jela kazidi kujipodoa Sana akapasuwe mawe kidogo awe ngangari kama mwanaume
Kwani uyu binti kazaliwa mwaka gani au haelewekiAandikishwe na nan , swala hapo ni umri akiwa above 18 binti ndo final say....
18 ashavuka huyo mkuu na alisha maliza kidato cha nne na alikuwa kitaa sa sijui hiyo adhabu ya kutembea na mwanafunzi inatoka wapi.Huyu mtoto Kama hajavuka 18
Huyo kijana kwisha habari yake
Aende jela akasuke uko jela kazidi kujipodoa Sana akapasuwe mawe kidogo awe ngangari kama mwanaume
Kumaliza kidato cha nne si tija?Mbna mna vichwa vigumu , Paula kavuka miaka 18 anaenda 20 sasa na kamaliza form four , ni yeye kuamua kusoma au kuolewa, no case umri unamruhusu binti kuwa final say hata Sheria za ndoa zinaruhusu
Nisaidie kushangaa na Mimi Paula baada ya kufeli kidato cha NNE alirudia shule gani ?18 ashavuka huyo mkuu na alisha maliza kidato cha nne na alikuwa kitaa sa sijui hiyo adhabu ya kutembea na mwanafunzi inatoka wapi.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Aaaah apo sawa18 ashavuka huyo mkuu na alisha maliza kidato cha nne na alikuwa kitaa sa sijui hiyo adhabu ya kutembea na mwanafunzi inatoka wapi.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Alikuwa JKT mgulani kama sijakosea.Hivi kajala alivyokuwa anaruka na majani si alikuwa secondary au primo?.
Hata kama alirudia issue ni kuwa she is no longer a student mpaka pale atakopojiunga kidato cha 5. Sasa hivi yeye ni mtu mzima aliyeko mtaani mwenye maamuzi yake binafsi.Nisaidie kushangaa na Mimi Paula baada ya kufeli kidato cha NNE alirudia shule gani ?
Basi dogo Rayvanny ndugu hana hatia, tunda limeiva tena dodo linanga'ra tayari kuliwa kwa raha kabisa..20 miez miwili mitatu anaweza gonga 21
Nashangaa Mama yake kuandika ni Mwanafunzi anataka huruma za walimwengu akae kimya upepo upite .Hata kama alirudia issue ni kuwa she is no longer a student mpaka pale atakopojiunga kidato cha 5. Sasa hivi yeye ni mtu mzima aliyeko mtaani mwenye maamuzi yake binafsi.
Unatembea na mwanafunzi wa kidato cha 5 then unasema huna hatia?Basi dogo Rayvanny ndugu hana hatia, tunda limeiva tena dodo linanga'ra tayari kuliwa kwa raha kabisa..