Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

Kwani yeye P Funk ana tabia zipi nzuri za kufaa kulea mtoto salama
P Funk yuko very strictly na ni mkali haswa yule jamaa.
Unaweza muona kama muhuni hivi lakini ni mtu anayejielewa sana na maisha yake, kifupi narudia tena kosa alilofanya ni kuruhusu mtoto alelewe na mama ambaye tabia zake si nzuri kwa maendeleo bora ya mtoto.
 
P Funk yuko very strictly na ni mkali haswa yule jamaa.
Unaweza muona kama muhuni hivi lakini ni mtu anayejielewa sana na maisha yake, kifupi narudia tena kosa alilofanya ni kuruhusu mtoto alelewe na mama ambaye tabia zake si nzuri kwa maendeleo bora ya mtoto.
Hayo ni madhara ya kutengana , hakuna mwanamke anayekubali mwanawe alelewe na mama wa kambo , yaan hapo utamuua Tu .... Hata kama angeforce still ni ngumu , Kajala kila mda anamuwaza Paula , yaan kila anachofanya Kajala lengo ni kumnufaisha Paula alaf umnyang'anye mtoto akalelewe na mwanamke mwingine never ....
 
Maisha ya kulelewa na mama ni mazuri kama akiwa nidhamu,hatukatai kuwa na mahusiano kwani kila mtu anayo,ila angalia wewe ni nani na mwanao anajifunza nini kupitia ww kubadilisha wanaume na yy anaona.

Monalisa yule pale ana watoto watatu,kila mmoja na baba yake lkn hushawahi kumuona ana wapost wanaume anao date nao,au kupigwa denda in public ? na unaweza ukakuta Monalisa anadate na wanaume wengi kuliko Kajala ila mambo yake hayanyi mbele watoto wake.

Kama anataka kujiachia ,ajiachie kama akimpata wanaume aliye tayari kupeleka mahali kwa mzee Masanja na wahalalishe mahusiano yao kwa ndoa,then ajiachie atakavyo na huyo mme wake na si kubadilisha wanaume mbele ya watoto wako.Kataa au kubali matendo ya mzazi yawe mazuri au mabaya mara nyingi ndiyo yanayo mjenga mtoto.

Hajachelewa kwa Paula,amnyang'anye simu,afute acc zake zote za social media na ampige marufuku ya kutumia simu.Ampeleke shule advance ambayo ina malezi mazuri na isiyo ruhusu kutumia simu na yeye mwenyewe awe na nidhamu la sivyo dogo atapotea mazima.
Ukinielewa basi niambie ila kwangu case is closed
 
Wa kwako ataliwa akiwa na umri gan we marehemu
Marehemu mwenyewe naona una akili za kitoto kushabikia utoto.

Nyie ndio wabakaji tunaoishi nao huku kitaa

Sasa nenda na wewe nenda kale denti uwekwe ndani mvua 30

Shwain
 
Bongo kuna kila aina ya ujinga hado unajiuliza haya mi malezi gani? Mtoto anafanya mama yake anayofanya.mwanafunzi gani huyu eti?
Misingi ya malezi, ikishakuwa mibaya kuanzia kwa mama, kupata mtoto ambae atakuwa smart ni neema za Mungu. Ni mala chache sana ukute mzazi kapinda alafu mtoto kanyooka ni nadra kuikuta hii, ingawa hutokea. Paula alifeli na kukosa sifa za kuwa Gvt student. Hawaja chelewa sana, katika malezi yake kama wazazi wake wata rudi nyuma , ila kama wanaona kurudi nyuma haiwezekani, basi ndio ntolee huyo binti
 
P Funk yuko very strictly na ni mkali haswa yule jamaa.
Unaweza muona kama muhuni hivi lakini ni mtu anayejielewa sana na maisha yake, kifupi narudia tena kosa alilofanya ni kuruhusu mtoto alelewe na mama ambaye tabia zake si nzuri kwa maendeleo bora ya mtoto.
P Funk angekua strict na mkali bila kuwa mhuni na anayejielewa sana na maisha kama unavyosema angesettle na mwanamke mmoja sahihi zamani sana.
Wala asingezaa watoto bila utaratibu na kuwaachia mama zao jukumu la kuwalea. Kwa kifupi hawezi kujiondoa kwenye hili la watoto wake kuharibikiwa sababu hajaplay role yake kama baba kuwatunza inavyostahili

Yule mwingine alipostiwa na diamond siku chache zilizopita nae mamake kamharibu?
 
Paula kashamaliza mchezo ,na mbona ilijulikana tangu mapema demu ndio alitaka video ipande hewani cse alikuwa haamin kama vannyboy anampenda kweli, mwamba akamwambia subili valentine , natunga na wimbo kabisa [emoji39][emoji39][emoji39]...sasa vishumundu wa kimakonde wanakuja na ngojera za malezi na bla bla kibao[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni kishumundu wa wapi?
 
Nimeumia kama mama mwenye watoto wa kike na kiume, nna uhakika Kajala pia anaumia... hakuna mama angependa mwanae apitie magumu aliyopitia yeye

Anachopitia P.Funk sasa ni kile alichowapitisha wazazi wa Kajala wakati Kajala akiwa na umri sawa Paula alionao sasa





Hakuna kitu utakachofanya kiwe kizuri au kibaya kisikurudie

Mungu amnusuru huyu mtoto. Bado ni mdogo sana kwa vitu hivi tena kwenye mitandao
Maisha ya msanii yamejawa na sanii, na maisha ya mwana siasa yamejawa na siasa. Vitu viwili tofauti.
Naona unalazimisha awe underage tuseme form 4 kamaliz na hiyo 16 sawa amehitimu mwaka gani ?
Siamini kama harmonize kawa baba mkwe wa rayvanny
Mtoto kashakuwa wacha aliwe , aya yaliyobaki ni maneno tu,

Yeye mbona alimlamba mama Paula na baba kajala hakumind,

Aache shobo aache mabaharia tujilie vyetu
Kwenye ubora wako mzee baba
 
Wasenge hao wanaanza kujitoa mmoja mmoja , hii issue wanawake wote wakae pembeni ni issue ya kibabe, haihtaji umama mama... wao waende kwenye thread zao za kike sjui Lulu kaolewa sjui ndoa ya Majizo , na usenge usenge mwingine .... Ni mwanaume mwehu Tu anayeweza kushangilia kufungwa Kwa mwanamme mwenzake kisa kagonga demu et mwanafunzi wa umri Zaid ya miaka 18, ....hzi rabsha Kwa mwanaume ni swala la kawaida kabisa na tunatembea na tamaa , kibaya ni Kula vitoto below 17 ,...... Kwa hii issue mi siwez kumkandia Rayvanny whatever the cost .......mabinti sku hzi mpak wanatongoza wanaume , above 18 huyo ni Safi kabisa kumchoma choma
Heeeeh mambo yameanza kuwa magumu eti eeeeh? Poleeeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nini huyo threesome?
Ulienda wap tena , hujui katibu mkuu kiongozi wa nchi amefariki ndug kikazi , sjui sa hv tukitumbua mtu Nani atatangaza
 
Ulienda wap tena , hujui katibu mkuu kiongozi wa nchi amefariki ndug kikazi , sjui sa hv tukitumbua mtu Nani atatangaza
Tobaaaaaaaaaah katibu mkuu kiongozi yupi tena? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom