Nimemsikia ila hakuna popote aliposema mkataba wa DPW ni mkataba mbovu!.Mkuu wa mkoa wa Morogoro ambae pia ni kada wa chama cha mapinduzi Adam Kighoma Malima, ameungana na watanzania wengine kupinga namna mjadala wa DP World unavyoendeshwa na mashabiki wa chama hicho cha CCM.
Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na alipokuwa waziri wa nishati miaka kumi baadae wakaikataa .
Akafafanua kwamba wale sio wajomba zetu.. na muhim ni mkataba wenye maslahi kwa taifa na si vinginevyo.
Msikilize mwenyewe 👇
Kaongea vizuri kabisa. "Tutazame tutakapoingia ubia hili linafaa hili halifai...".Mkuu wa mkoa wa Morogoro ambae pia ni kada wa chama cha mapinduzi Adam Kighoma Malima, ameungana na watanzania wengine kupinga namna mjadala wa DP World unavyoendeshwa na mashabiki wa chama hicho cha CCM.
Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na alipokuwa waziri wa nishati miaka kumi baadae wakaikataa .
Akafafanua kwamba wale sio wajomba zetu.. na muhim ni mkataba wenye maslahi kwa taifa na si vinginevyo.
Msikilize mwenyewe 👇
Mbona kuna wanaosema ni Wajomba zetu....Akafafanua kwamba wale sio wajomba zetu.. na muhim ni mkataba wenye maslahi kwa taifa na si vinginevyo.
Msikilize mwenyewe 👇
kwanini atenguliwe na anatowa elimu kama walivyotakiwa serikali yote, wawaelimishe wasioelewa.Bado hajatenguliwa?
Usiku anatenguliwa, Zuhura Yunus uko wapi?Mkuu wa mkoa wa Morogoro ambae pia ni kada wa chama cha mapinduzi Adam Kighoma Malima, ameungana na watanzania wengine kupinga namna mjadala wa DP World unavyoendeshwa na mashabiki wa chama hicho cha CCM.
Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na alipokuwa waziri wa nishati miaka kumi baadae wakaikataa .
Akafafanua kwamba wale sio wajomba zetu.. na muhim ni mkataba wenye maslahi kwa taifa na si vinginevyo.
Msikilize mwenyewe 👇
Mbona kuna wanaosema ni Wajomba zetu....
Anamtahadharisha nani hasa?Nimemsikia ila hakuna popote aliposema mkataba wa DPW ni mkataba mbovu!.
Alichosema ni tuwe makini ili tusipigwe, kwasababu huko nyuma, tulipigwa!.
Msimchonganishe Malima na Samia!. Serikali yetu inafanya kazi kwa mtindo wa a collective responsibility, serikali ikiisha sema ndio, Bunge likasema ndio, chama tawala, chama cha Mapinduzi, CCM, kikasema ndio, hawezi tena kuibuka mserikali yeyote akasema sio, huko kutakuwa ni kwenda kinyume cha kanuni ya collective responsibility.
Hivyo mleta mada umepotosha!.
P
Kama umemsikiliza hakusema, ni SAWA maana unathibitisha kuwa HAKUSEMA wala watu wasiweke maneno ambayo hayakusemwa.Nimemsikia ila hakuna popote aliposema mkataba wa DPW ni mkataba mbovu!.
Alichosema ni tuwe makini ili tusipigwe, kwasababu huko nyuma, tulipigwa!.
Msimchonganishe Malima na Samia!. Serikali yetu inafanya kazi kwa mtindo wa a collective responsibility, serikali ikiisha sema ndio, Bunge likasema ndio, chama tawala, chama cha Mapinduzi, CCM, kikasema ndio, hawezi tena kuibuka mserikali yeyote akasema sio, huko kutakuwa ni kwenda kinyume cha kanuni ya collective responsibility.
Hivyo mleta mada umepotosha!.
P
Anafuata nyayo za baba yakeMsijibaraguwe, hakuna mahala Malima kapinga bandari isiendeshw na kampuni ya Dubai. Kasema tuwe makini kwenye mikataba. Ambacho ni kitu sahihi kabisa.
Akafafanua kwamba wale sio wajomba zetu.. na muhim ni mkataba wenye maslahi kwa taifa na si vinginevyo.[emoji419][emoji375]Mkuu wa mkoa wa Morogoro ambae pia ni kada wa chama cha mapinduzi Adam Kighoma Malima, ameungana na watanzania wengine kupinga namna mjadala wa DP World unavyoendeshwa na mashabiki wa chama hicho cha CCM.
Akizungumza katika kipindi cha Good morning Wasafi FM, Malima ambae marehemu baba yake aliwahi pia kuwa waziri wa fedha kipindi cha Nyerere, amesema Kinachopingwa sio ufanisi wa bandari bali ni vipengele vya mkataba, na huko nyuma, 1998 Tanzania iliwahi Ingia mikataba mibovu ya madini, na alipokuwa waziri wa nishati miaka kumi baadae wakaikataa .
Akafafanua kwamba wale sio wajomba zetu.. na muhim ni mkataba wenye maslahi kwa taifa na si vinginevyo.
Msikilize mwenyewe [emoji116]
Tuwe makini na mikataba ikiwamo huu wa Bandari siyo?Msijibaraguwe, hakuna mahala Malima kapinga bandari isiendeshw na kampuni ya Dubai. Kasema tuwe makini kwenye mikataba. Ambacho ni kitu sahihi kabisa.