RC Amos Makalla amaliza mgogoro wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni

Meya aache ukanjanja...

Kwahiyo baada ya kumaliza tofauti zao watuambie ukweli sasa... nani alikuwa sahihi kati ya Meya na Mkurugenzi.... afu hela zetu zirudishwe...

Afu naona Meya kambamba mke wa watu kwa mahaba yote...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makonda kaikarabati ofisi leo anaiona kwa tv [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2960][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Cheo cha Mkurugenzi kifutwe. Miji iongozwe na mameya.
 
Pigo kubwa kwa CHADEMA.......
 
Meya aache ukanjanja.

Kwahiyo baada ya kumaliza tofauti zao watuambie ukweli sasa, nani alikuwa sahihi kati ya Meya na Mkurugenzi, afu hela zetu zirudishwe.

Afu naona Meya kambamba mke wa watu kwa mahaba yote.
Mahaba kazini ,mgogoro imeisha mahaba kikazi yaendeleeee
 
Ilikua haina namna kuchagua kwenda kufanya kazi ingine au utimuliwe au kubalianane mnamapungufu wote kazi iendelee
 
Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es salaam Amosi Makalla ameanza kazi kwa kishindo

Mheshimiwa Makalla mapema leo amemaliza ugomvi uliodumu kwa muda mrefu kati ya Mstahiki Meya wa Manispaa Kinondoni Mheshimiwa Songoro Mnyonge na Mkurugenzi Bi Spora Liana

Viongozi hao wawili baada ya usuluhishi huo walishikana mkono na kuahidi kuchapa kazi kwa bidii na ushirikiano mkubwa ili kufanikisha utekelezaji wa Ilani ya CCM

Hongera sana RC Makalla

Kazi iendelee
 
Kazi ya kwanza.. na ilileta matatizo gani kwetu wananchi?..

Oyeeee

Lingine..

Kazi iendelee...
 
wenzio waliweka na picha wewe hujaipata?
 

Walikuwa wanagombea kututumikia wananchi?

Hawa walistahili kutumbuliwa. Kuwalea hao ni kukumbatia ugonjwa.
 
Hivi hawa viongozi hawaoni aibu, wanaweka sintofahamu zao mbele na kuacha kututumikia wananchi, walitakiwa wale viboko
Hawafai kabisa kuwa Viongozi! Magufuli angewafukuza wote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…