RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

Wewe ndo mtoto wa mjini? Kwanza maisha ya JPM na familia yake wewe hata robo na uko wako huna!
Familia yake tu inavyoishi wewe zitabakia ndogo mpaka unaenda futi 6 chini ya udongo!
ume PANIC
 
CCM mtauana na hivi vyeo...as long as aliyemteua anamkubali wewe ni nani?
 
Utoto wake wa mjini unawasaidaje wakazi wa Dar es Salaam??
Amos Makalla ni mtoto wa mjini. Kaingia mjini kipindi Magufuli anaingia chooni peku huko Chato. Narudia Papaa Amos Makalla ni mtoto wa mjini na ameingia kwenye highest Echelons za CCM kipindi ambacho hujaanza hata kutembea mwenyewe.
 
Roho imekuuma? Unajuaje nimetoboa au la? Fahamu kuzaliwa tu mjini tayari una digrii...

Makalla kaingia CCM na kuanza harakati za kusaka ikulu chini ya wanamtandao hado kuwa mwekahazina wa CCM kipindi ambacho wewe ulikua bado unachambia vikopo vya kutu huko Chato.
Hapo mjini unapopasema ni sehemu gani? Posta? Manzese? Au kigamboni? Nchi hii ina watu wapumbavu sana.. anyway aliki ni nywele na kila mtu ana zake.
 
Tangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile

Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka.

Amos Makalla aliazisha kampeni ya usafi wa jijini akaipa jina kabisa. Akateua mpk mabalozi wa usafi .Kampeni hii imekufa kifo cha mende.

Kichekesho kikubwa ni pale alipofanya maamuzi ya kukurupuka ya kukataza mabasi ya mikoani kushusha abiria kwenye stendi binafsi. Wenye mabasi wakamgomea.

Hebu sasa soma sehemu ya hotuba yake ya leo wakati akitoa salaam kama mkuu wa mkoa mwenyeji wa shughuli ya utiaji saini mradi wa SGR (Tabora -Kigoma) leo 20 December, 2022.
"Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla anazungumza:
Hali ya usalama ni shwari, nashukuru kwa Shilingi Bilioni 12.3 ulizotupa za kujenga madarasa 618, nikuhakikishe hakuna mtoto ambaye hatakwenda shule

Dar ndio Jiji la kibiashara, sisi ni wanufaika wa kwanza wa mradi wa SGR, hivi karibuni ulinipa fursa ya Kwenda kuifunza mambo ya usafi Rwanda, wanakushukuru kwa kufungua biashara.

Unayoyafanya yameandikwa kwenye ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi, chama cha siasa kazi yake ni kushika dola, unayoyafanya unatekeleza kile kilichopo kwenye ilani.

Ukishaona mtu mzima anacheza michezo ya kitoto kwa mfano ‘hide and see’ au kujipikilisha ujue mambo sio mazuri, juzi tumesikia wenzetu wanachagua Bunge la Mtandao, linaitwa Bunge na lina Spika, sasa hapo tunaona kabisa wanacheza mchezo wa hide and see, wamechanganyikiwa, hii ni kutokana na kazi nzuri unayofanya".

Hotuba hii imekaa kitoto Sana. Haina focus, anapuyanga huku kisha anahamie kule.

Hivi huyu RC wa hovyo kiasi hiki anabebwa na nani hadi kuwekwa kwenye huu mkoa ambao ndiyo uso wa nchi??
Hide and see? or hide and seek?
 
Yaan hawa wakina Makala ndio huwa ,wanaibia mitihani ,wanapata kaz za ukuu wa mkoa au uwazir kwa connection tu.Hawawez interview hata siku moja.Aibu anayopata ni matunda ya kufoji foji vitu.
 
Akianzaga kuongea huwa nazima TV
 
Yaan hawa wakina Makala ndio huwa ,wanaibia mitihani ,wanapata kaz za ukuu wa mkoa au uwazir kwa connection tu.Hawawez interview hata siku moja.Aibu anayopata ni matunda ya kufoji foji vitu.
Huwa anapohutubia aibu naona mimi.
 
Wewe ni mjinga digidigi Mkubwa, watu wanaandika hoja we unaleta habari za shamba na mjinin!

Umjini wake unatusaidia nini sisi..?

Pimbi kabisa wewe, ni bora hata huyo wa kijijini na mshamba mchato, huyo wa mjini anaongelea kitu ya mtu wa shamba SGR, je kipi cha mtu wa mjini tujivunie?

Wabongo, ni lini matapta akili? Ndiyo maana hata familia zenu zimewashinda kuziongoza, wanaume wa dar wapumbavu sana

Mbona unaandika ukiwa ume panic!!
 
Downtown kitambo huku kaokotwa tu si alifulia hadi akawa kopo kbsa kaokotwa huyo
 
Back
Top Bottom