Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Hawa wanaowapa PhD watu Kama Hawa yafaa wachapwe viboko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Maendeleo hayana vyama!
Yaani tunaongizwa na zera brainsKama hayo ndio mawazo ya viongozi wetu,kweli after 5 yrs tutatoa msaada kwa USA
RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Maendeleo hayana vyama!
Ameisemea serikali? Ametoa maoni yake kama mtanzania.mkuu wa mkoa lini akawa msemaji wa serikali?
Ameisemea serikali? Ametoa maoni yake kama mtanzania.mkuu wa mkoa lini akawa msemaji wa serikali?
Vipi tayari mmeshahesabu kura tayari? Au unatuletea utopolo wako.Arusha Kura za gharika kwa LEMA na LISSU zinamiminika kama mvua ya NUHU aisseeeeh watu WAMEDHAMIRIA !!!!
Tumbua tumbua itaendelea baada ya mapumziko.Mimi nnadhani hapo ingekaa poa kama Taarifa ingesema kuwa hayo ni Maoni binafsi ya huyo Tarishi wa Rais ,hausiki kabisa na usemaji wa
Ahaaa,sasa hizi ni chuki za kisiasa. Mtu kujua kama network zinakuwa down mpaka usome?Hivi mtu duni kama Chalamila anajua nini kuhusu mitandao ya kijamii ?
Anahisi kila mtu ni boyaKawadanganye maccm wahuku kijijini kwenu
RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.
Maendeleo hayana vyama!