Uchaguzi 2020 RC Chalamila: Mitandao ya kijamii kutoweka hewani hakuhusiani na uchaguzi, huwa inatokea wakati wowote

Uchaguzi 2020 RC Chalamila: Mitandao ya kijamii kutoweka hewani hakuhusiani na uchaguzi, huwa inatokea wakati wowote

Usually watu wenye vipara huwa na brain, lkn huyu ni the dumbest !!

Hajui kulikuwa na memo na we saw it ?
QUOTE="johnthebaptist, post: 37148581, member: 228646"]
RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.

Maendeleo hayana vyama!
[/QUOTE]
 
Aliyekutuma mwambie niliowapelekea habari wenyewe wanazo wiki mbili kabla
 
Natoka kupiga kura sijaona wakuipa kura CCM labda ndugu na jamaa walioko kwenye huo mrija.
 
Kama hayo ndio mawazo ya viongozi wetu,kweli after 5 yrs tutatoa msaada kwa USA
 
RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.

Maendeleo hayana vyama!

Kutoweka kwa mtandao ya kijamii kumefanywa kwa makusudi.Haitasaidia chochote,wananchi wameamua.
 
RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio.

Maendeleo hayana vyama!

Hivi mtu duni kama Chalamila anajua nini kuhusu mitandao ya kijamii ?
 
Back
Top Bottom