Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ccm wanasemaje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Chief. Mbona unaandika as if Dar ni mali yako.. Comment yako iko authoritive sana.Kama vipi awapatie usafiri warudi makwao huko kigoma & ukingani
Leo nilipita seemu kwa machinga/wanyonge kucheki mtumba wa kiatu naambiwa 60kHii ingefanyika Tanzania nzima.Hawa wapangishe frame ya duka,ili kuingiza mapato ya serekali kwenye kodi ya zuio(with holding Tax)Frem nyingi kwenye miji,zimejengwa,hazina wapangaji,wakipatikana wapangaji na kodi ya zuio,imepatikana.Wengi wanaingiza faida kubwa,lakini hawalipi kodi.
Akifanikiwa katika hilo urudi umpongeze.Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara (Source ITV habari).
Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipanga kiasi kwamba waligeuka kuwa kero kwa kila mtu.
Uamuzi wa RC Makalla uungwe mkono ili hawa wanyonge wafuate utaratibu. Na wawe na maeneo maalumu ya kufanyia kazi zao. Wasizagae hovyo.
sio huko tu mkuu. hiyo hali ni nchi nzima.Safi sana Makala..Kwa hili pongezi kubwa sana. Bado Mwanza..Wamachinga waliharibu maeneo mengi sana..Kuna haja ya kuweka uratibu mzuri kwenye hili tena tunakosa mapato mengi sana.
Ngoja tuone!Mi nasubiri vitendo maana wanasiasa hawaaminiki
Watanunua nyanya IMALASEKO.Posta hawali kachumbari bwashee?
Kupitia biashara ya umachinga wale jamaa wengine pale Karume wanatengeneza faida ya 2000 tu kwa siku na wanaendesha familia.
Hayati alikosa exposure hakuna mji duniani uko ovyo kama dar,mamalishe anapikia kuni chini ya transfoma pembeni kuna bank mbele kuna jengo la ubalozi.Mungu fundi
Hayati alikosa exposure hakuna mji duniani uko ovyo kama dar,mamalishe anapikia kuni chini ya transfoma pembeni kuna bank mbele kuna jengo la ubalozi.Mungu fundi