RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

uchawi sio imani ya serikali
tunajua nyie ni wachawi
ila msiifanye imani ya mkoa/taifa zima
hayo matambiko yenu msiyafanye ya kitaifa
 
Bila Shaka unasemea nyama za dada zetu Mana Mambo Kama hayo niliyakuta Barbados.

Visungura, Don Nyati plus kuwapumhaza issue za Ngorongoro mjikaze masaia hatusahau kitu.
 
Nimepiga hesabu ya haraka haraka ng'ombe 200@850,000 =170,000,000

Yaani 170M

Labda kama hizo gharama wamechangia hao wafanya biashara, ila yeye na Ofisi yake ya Mkoa hawana hicho kiasi.
Sio kwamba Atown ng'ombe ni wengi?
Au watanunua itakua kama nyama choma festival?
 
Hakika[emoji7]
 
uchawi sio imani ya serikali
tunajua nyie ni wachawi
ila msiifanye imani ya mkoa/taifa zima
hayo matambiko yenu msiyafanye ya kitaifa
Huna akili...

Uchawi ni nini ?!!

Wayahudi waliteketeza kafara za damu...wachawi wale ?!!

Huna ujualo zwazwa
 


Hao ng'ombe na sherehe badala ya maji simanjiro. CCM OYEEE
 
acha wivu mtoto wa kiume tafuta hela, vijana wengi wavivu na waliokosa connection wana wivu na makonda ikiwamo wewe
Kusema kuwa Makonda ni multimillionaire ni wivu au nimetoa wasifu wake? Utakuwa umekalia kitu kigumu chenye ncha butu huku kikiwa kimezama kabisa maungoni mwako bwabwa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…